Madhara ya minara ya simu

Madhara ya minara ya simu

Kwamaana hiyo wakina sie tunaofanya vibarua kwenye hii minara tupo hatarini zaidi?...nakunamtaalam mmoja aliwahi kuniambia hiyo mionzi inapelekea kupata watoto wa kike tu wakiume utawaonea kwa jirani
Ishu ya kupata watoto wa kike kwa hilo sina uhakika nalo na kwa ishu ya kufanya vibarua karibu na minara huwa haikudhuru kwa kiwango kikubwa kama cha yule anayeishi eneo hilo...hii ni kutokana, wewe hukai kwa kipindi kirefu ktk hilo eneo kama yule anayeishi hapo na kwa muda zaidi unapokuwa exposed katika hilo eneo ndivyo athari nazo zinaongezeka.
 
Nilikua namaanisha kwawale wakina sie tunao ihudumia minara hii ya sim
 
Google "STUDIES OF THE SIDE EFFECTS OF MOBILE PHONE MASTS."
Wadau,naomba msaada na ujuzi kidogo katika swala hili,Ni madhara yapi husababishwa na Minara ya simu kuwekwa katikati na karibu kabisa na Makazi ya watu!!!!???? Mnaofahamu msaada wenu ni Muhimu!!
 
Nilikua namaanisha kwawale wakina sie tunao ihudumia minara hii ya sim
Inategemea kwakweli, maana endapo kama kazi yako ni kupanda juu kwenye zile tx na rx basi ujue kazi unayo labda kama utakuwa unafanya kazi huku vifaa hivyo vimezimwa kwa muda.
Na kwa ishu kama ya wale wanaohudumia minara hususani kwa upande wa umeme, athari kwao ni za kawaida maana hufanya kazi kwa muda mfupi na pia hawapo exposed direct kwenye microwave radiation kuliko wanaopanda juu kwenye hivyo vifaa.
 
Kama hivyo ndivyo basi minipo salama kwenye upande wa umeme
 
Hapa kwetu ipo minara miwili airtel na voda, sisi tuko katikati ya minara,kama ina madhara basi tulishajifia japo bado tunapumua
 
Matokeo yake hayaji muda huohuo, huwa inakuathiri taratibu mpaka mwisho wa siku unakutana na hilo tatizo la brain tumor na hususani watoto wadogo ndio huathirika haraka zaidi ya watu wazima.
 
mionzi kutoka katka minara ya simu ni non-radioactive rays,yaan ni mionz isiyokua na uwezo wa kuleta madhara,value yake haifikii threshold value ya human body
aya we tupange tu
 
Wadau,naomba msaada na ujuzi kidogo katika swala hili,Ni madhara yapi husababishwa na Minara ya simu kuwekwa katikati na karibu kabisa na Makazi ya watu!!!!???? Mnaofahamu msaada wenu ni Muhimu!!
Ninavyofahamu ni kwamba minara ya simu inatumia Radio wave, ambayo kitaalamu inasemekana ina frequency ndogo na wave length kubwa, kutokana na sifa hizo inakuwa haina uwezo mkubwa wa kupenya kwenye vitu mbalimbali ikiwemo mwili wa binadamu na hivyo uwezekano wa kupenya kwenye ngozi na kuathiri ni mdogo sana hivyo inapuuziwa kisayansi, ndiyo maana TCRA wanaruhusu ijengwe kwenye makazi ya watu. Kumbuka minara ina supply radio wave kwenda kwenye minara ya jirani na simu za mkononi kuwezesha mawasiliano, sasa kama wave za minara zingekuwa hatari basi simu za mkononi zingekuwa hatari zaidi maana ziko karibu na sikio lako kuliko mnara wake
 
Back
Top Bottom