Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,932
- 4,049
Ngoja nikusahihishe best......kujamiiana ni kweli ni moja ya mahitaji muhimu ya mwili. But kabla sijakusahihisha nikuweke sawa kidogo. Kwa wale waliosomea taaluma ya masoko kama mimi wataungana na mimi nikitumia concept ya common good.....yaani ni kipi ambacho ni ashki yako unapotafuta jambo lolote......ukiwa na kiu hauitafuti soda kwasababu unataka tu bali ni kwasababu unahaja ya kutibu kero ya mwili inayoitwa kiu ......ukienda yard kuchagua gari sio kwasababu analitaka gari kama gari ila ni kutatua kero ya kusafiri muda mrefu hivyo gari hutibu ile kero......mtu hanunui simu kama kidude tu cha kuchezea ila kifaa cha kutibu haja ya kuwasiliana kwa kasi zaidi.......unapokuwa unaumwa unakuwa unakiu ya kupata ahuweni na kupona hii hukutengenezea kiu ya dawa ndio maana watoto wakimuona mtu mzima anabwia dawa nao wanatamani wameze maana wanaona kama anajiburudisha......pia mwili wa binadamu umetengenezwa na haja ya kuproduce binadamu wengine hii haja ndio inaitwa kiu ya sex ..........hii kiu inaweza kutibiwa kwa punyeto au kufanya mapenzi na mtu...........ndo ukitaka kujua sababu yake ni kupatia watoto tizama mtu akishapiga bao......huyo mwanamke uliyekuwa unafanya naye hautajiskia hata haja ya kumsindikiza tena maana itakuwa umeshatibu ile kiu..........kwahiyo ni wazi kuwa ngono na dawa ni tofauti ila lakini zote ni sehemu za haja za mwanadamu ambazo huenda kutibu kiu za mwili......!
Mkuu si kweli kwamba hamu ya kufanya ngono ni hamu ya kupata mtoto
Ingekuwa hamu ya ngoni ni hamu ya kuwa na mtoto, bas kusingekuwa na abortion, kwa nini mtu afanye abortion wakati alifanya ngono kupata mtoto?
Pia suala la punyeto nalo pia lisingekuwepo kwa sababu kama hamu ya muhusika ni mtoto basi angetafuta mwanamke wa kufanya naye ilj apate mtoto na sio kupoteza mbegu bure kupitia kujichua, sababu nyingine ni suala la uchangudoa, sexual fantansies n.k
Haya yote yanapinga wazo lako la kuwa hamu ya ngono huendana na hamu ya kupata mtoto,
Nimalizie kwa kusema watu walio wengi hufanya ngono kwa starehe na wachache kwa ajili ya kupata watoto.