Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Habari gani wadau,
kama kawa leo ni fursa nyingine ya kupeana elimu na kufunguana mawazo na akili juu ya maswala yanayogusa maisha yetu.Leo tutazungumzia swala la porn movies au videos hizi ni video za kibiashara zenye maudhui ya tendo la ndoa zenye lengo la kiweka uteja au ulevi wa kuzitazama muda wote hakuna kibaya kilichokosa uzuri na pia hakuna kizuri kisicho na ubaya.
Naomba nianze na mabaya ya kutazama hizi video;
N.B (Mabaya haya hutofautiana rika na rika pia jinsia na kadhalika.
1.KICHOCHEZI CHA KUJICHUA.
-Ukihoji wengi wa wahanga wa matatizo ya kujichua au punyeto utagundua hawakuanza kama ajali bali ilikuwa ni hamasa iliyotokana na kutazama video za porn.
2.KUBADILI MAANA KUU YA KUJAMIIANA AMA SEX.
-Leo hii katika akili ya kila mtu imejengeka kuwa kujamiiana ni starehe kwa asilimia mia na ndio maana siku za kupata ujauzito watu huwa wanaziita siku za hatari badala ya siku za neema au baraka.
Lakini kiuhalisia kujamiiana si starehe hata kidogo kisema ufananishe na kwenda club au kuangalia mpira ila ni kwamba ni tendo lililowekewa msisimko ili lifanywe kwa utaratibu wa kibaiolojia.
Kama haujaelewa hapo jua ulikuwa mtoro class wakati ticha anafundisha reproduction kwenye biology. Utamu huu ni kama vile dawa za watoto zilizowekwa flavour ya matunda na sukari lakini hizo dawa si kiburudisho.
3.PORN VIDEO ZIMECHANGIA KUHARIBU MAPENZI HALISI NA YA KWELI.
-Leo hii ukikuta mvulana au msichana analalamika kuwa hajapata mpenzi wa kweli jua ni mnafiki......ukweli ni kwamba hajapata mtu wa kukidhi matamanio yake.
Maana pale kitaa kuna mabeki tatu na wauza chips kibao ambao wapo radhi kunywa sumu kama ukiwaambia huwataki. Mapenzi ya halisi na ya kweli yamepotea kwasababu katika porn waigizaji huchaguliwa kwa vigezo kama makalio kubwa,matiti ya duara au yaliyojaza fresh kwa kutengenezwa,viuno na hips nzuri pia sura kwa wanawake misuli ya mwili na muonekano wa ngozi ng'aavu,uume mkubwa na n.k.
Kwa wanaume. Hivi vigezo vimetoka katika tasnia ya porn videoz ikahamia hadi kwenye tasnia nyingine kama mitindo movies na matangazo ni therefore imechangia kubadili mitazamo ya watu juu ya mtu gani anzishe naye uhusiano ili kukidhi viwango vinavyotazamiwa.
4.SI KILA KINACHOTOKEA KWENYE PORN KINAWEZEKANA AU NI REALISTIC KWENYE MAISHA YA KAWAIDA!
-Hivi umeshawahi kujiuliza inawezekana vipi mwanaume kupiga mzigo kwa nusu saa nzima au saa kabisa au demu kugongwa na wanaume kama 30 hadi 40 na akaiburudisha yote ni kweli huwa inafanyika.
Lakini si jambo la kawaida hawa wanaume hupewa vidonge vya kumeza au huchomwa sindano zinazocontrol mshindo usitokee kwa haraka huku uume ukiwa umesimama bado. Katika hali ya kawaida hii kitu hamna na watu wengi wamejiona wao si wakamilifu au sio marijali kwa kushindwa kukaa muda mrefu.
Kunyonyana sehemu za siri especialy kwenye njia ya kukatia gogo si vitu vya kawaida kiuhalisia ni mbwembwe tu yale hufanyika chini ya uangalizi mkubwa wa kiafya na wataalamu wapo kusimamia hilo.
Mazuri ya porn ni kama ifuatavyo;
1.Humsaidia mtu ambaye anafanya mapenzi na mpenzi wake aliyemzoea kupata stimu hata kama hisia hazipo kabisa kwa kuvuta hisia wakati wa kufanya humrudisha tena kwenye sehemu ya tukio na kumfanya ashiriki fresh.
2.Hufundisha kwa wale wasiojua A wala bee juu ya mapenzi especially wanawake wa kichaga (utani tu miss chagga nikaushie (cwty) hawa wakiona wenzao wanachofanya hujua pa kuanzia pindi wanapoingia 6 kwa 6.
3.Huwaingizia kipato kikubwa waigizaji ukienda nchi kama ulaya ambapo upuuzi huu unahadi tuzo zake waigizaji maarufu hulipwa pesa nyingi sawa kabisa na waigizaji wa kawaida.
4.Porn hutumika kama njia ya matibabu kwa watu wenye matatizo ya kisaikolojia kuhusua mapenzi mfano; waliobakwa walio kaa muda mrefu bila kufanya au hata mabikra ili kuwaweka sawa kimawazo.
Hizi ni hasara na faida chache zaporn video lakini kuhitimisha ni vizuri tukawa realistic kuhusu maisha haya mambo ni ya kibiashara zaidi hayana uhusiano wa asilimia mia na maisha halisi tunayoishi.
Leo unalalamika haupati mpenzi wa kweli ila ndani ya moyo wako unakiri ni kuwa vigezo ulivyojiwekea
vinakisababisha kuwareject watu wengi sana wanaokutamani kwasababu kwako wapo chini ya kiwango na unaowataka pia wanakuona wewe wa chini ya kiwango vile vile so true love becomes impossible in that sense.
Utakuta mvulana anapiga picha ya biyonce wakati amezungukwa na akina mwajuma ndala ndefu au msichana anamuwazia mwanamitindo gani sijui mwenye bodi ya maana anasahau kuwa amezungukwa na akina shabani madobe !So kimsingi maisha si maigizo ila ni uhalialisia.
I hope wadau mtajifunza chochote kitu hata kama sijawasilisha vizuri.
Naomba michango yenu