Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,504

Tuwe makini na kuvaa mapete pete aiseeee, hii ni hatari sana
Hata ile bahati sheikhSijaona maishani umuhumu wa pete (Im Muslim)
Mkuu upo Sahihi sana 100,Watu wanajivalia tuuu,Aonekane mjanja au mwenye hela kumbe mengine ni MapepoHilo pete la kipepo, angalia jinsi lilivyo.