Yaani uzinzi unafanyiwa kila aina ya sugarcoating ilimradi uonekane ni mzuri....mbona anayefanya ngono kila siku na wanawake tofauti hana cha kumzidi yule anaye fanya mara moja kwa mwaka au hafanyi kabisa [emoji2960][emoji2960]...huku jf kuna kundi la watu limeibuka huwa wanajimwambafy sana na haya mambo ya ngono ngono ...as if ngono ni oksijeni
Yaani uzinzi unafanyiwa kila aina ya sugarcoating ilimradi uonekane ni mzuri....mbona anayefanya ngono kila siku na wanawake tofauti hana cha kumzidi yule anaye fanya mara moja kwa mwaka au hafanyi kabisa [emoji2960][emoji2960]...huku jf kuna kundi la watu limeibuka huwa wanajimwambafy sana na haya mambo ya ngono ngono ...as if ngono ni oksijeni
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, kupendelea sana kuangalia picha za uchi, Kusahausahau, Kupendelea story za mapenzi, Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke), Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu), Kuumwa na kichwa, Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
Apo kwenye muda sijui muda mrefu ni muda gani maana mm hukaa mpaka siku mbili ila ikizidi ya tatu bila kupunguza kichupa naumwa yaani hizi dalili huanza kujichomoza automatic
Baba ake yesu unamjua ? Mama ake alimpata akiwa bikira atapata wapi hamu ya tendo la ndoa yule ni special lakini tizama mitume iliyotokana na tendo LA ndoa Suleiman alikua. Na wake 100 wengine walikula mpka wajakazi wao Muheshimu Yesu kama kiume Unique usitufananishe nae kabisa
Kitaalamu hakuna tatizo lolote. Lakini ukifanya sana na kwa uzembe utapata madhara, yakiwemo magonjwa.
Pia ni suala la kisaikolojia, kadri unavyowazia sana ndivyo unavyotamani kufanya hayo unayowazia. Ukifikiria kufanya kazi zenye tija kimaisha utakuwa na tija pia. Utatingwa na kazi hizo, siyo ngono. Tuko hivi tulivyo kimaisha kulingana na tunavyofikiri.
Think positively big while working hard to realise your profitable dreams.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.