Ndugu zangu, naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.... Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia.
Hivyo katika utoaji wa hoja/ ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu......
Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo. (WANATUANZA WAO)
Tupeni ushauri wa maana, mfano:-
Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?
Je, kama akinijua na asinishike je itakuwaje hapo?
Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo n kwa kiwango gani?
Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.
Wanawake wengi wanacheat kwasabb ya kuwa huru kwa kila kitu...fuatilia!Ndugu zangu, naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.... Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia.
Hivyo katika utoaji wa hoja/ ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu......
Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo. (WANATUANZA WAO)
Tupeni ushauri wa maana, mfano:-
Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?
Je, kama akinijua na asinishike je itakuwaje hapo?
Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo n kwa kiwango gani?
Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.
ni watamu balaa,,usiombe ukapendwa na jimama alafu ukamkuna vizuriNdugu zangu, naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.... Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia.
Hivyo katika utoaji wa hoja/ ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu......
Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo. (WANATUANZA WAO)
Tupeni ushauri wa maana, mfano:-
Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?
Je, kama akinijua na asinishike je itakuwaje hapo?
Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo n kwa kiwango gani?
Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.
Je usipokutwa lakini jamaa akawa anahisi kuwa mtu huyu aidha GIPAMA anabanjua mke wangu/wake itakuwaje hapa!?TUSAIDIENI TU ILA SASA SKUIZ UKIMFUMA WIFE UKIMFUMUA DOGO RINDA WEWE MWENYE WIFE UNANYEA NDOO MBAYA HII SANA
UKISHAVUTA JIKO UTAJUA VILE UTAFEEL UKIHIS TU ANAMEGWA WACHA KUKUTA AKI NJANJULIWA
UNABORE
Asante sana kwa ushauli, umenena sawa sawa, sasa, mume akijua na asiweze kunikamata ama kuproove kama n kweli atanidhuru vipi?Kuna madhara mengi kutembea na mke wa mtu:
1. Hutakuwa huru naye, kuna wakati utamuhitaji lakini hatakuwa na muda. Yuko na mumewe. Hali hii inaweza kukunyima raha maishani na kukupa stress.
2. Unajiingiza kwenye mtandao wa Ngono. Si wako peke yako, na hujui mumewe yuko na wangapi. Ni rahisi kuambukizwa magonjwa.
3. Mara nyingi atakuwa na watoto...utalazimika kuwapenda watoto wake ili kumfurahisha.
4. Yawezekana ukatumia gharama nyingi zaidi kuliko ukiwa na gf wako peke yako. Mtalazimike mjifiche fiche sana, ntafute tax tinted n.k. Lakini pia wengine wanachepuka ili kutafuta hela.
5. Anaweza kuachwa na mumewe hivyo na kuwa mzigo kwako. Unaweza kumkimbia na wewe lakini dhambi ya kuvuruga ndoa ya watu haitakuacha kamwe.
6. Mkigundulika mumewe anaweza kukudhuru, hivyo unaweza kujikuta unalazimika kuhama mji na kupoteza mwelekeo wako kiuchumi.
Yeah! Ni kweli.Wanawake wengi wanacheat kwasabb ya kuwa huru kwa kila kitu...fuatilia!
Waliumbwa ili watawaliwe.
UKIMRUHUSU AKUTAWALE LAZIMA AMEGWE.