Haitachukua muda kama kabla hawajawa kama wale wa ile kichten party. Ulipenyezaje? https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kitchen-party-ndio-maana-he-not-allowed.html
heee! shemeji leo kuna nini? mbona unatuletea vituko? st something nyingi ni za dini,hawana mambo kama hayo.
I thought zina maadili ndo maana wazazi wengi wanakimbilia huko.kumbe hakuna kitu! my God, twafa twasila!Mimi ni mzee kifimbo cheza niko kwa ajili ya kurekebisha tabia. Kwa hiyo hizo za dini zina maadili? naogopa kuua biashara ya mtu ningekutajia ......
Duh hi kali, lakini hizo ST. Something nyingi huwa wanauniform, makoti flani marefu hata mwalimu akija asubuhi amevaa mbano wa hatari lazima avae hilo koti ni marefu yanafunika mpaka kwenye magoti, hapo hakuna kusoma, watoto wa cku hizi hawakawi kuuliza maswali after a long gaze.