Hiyo ni hatar sana tafadhar mleteni hospital harakaZa asubuhi wanajf. Naomba mnisaidie kuniambia madhara ya jino linapongolewa bila utaalamu...maana nina ndugu yangu wa karibu aling'oa jino na sasa amevimba mpaka uvimbe umeenda shingoni..nini tufanye? Hawezi ku5 wa kunywa hata maji..
Za asubuhi wanajf. Naomba mnisaidie kuniambia madhara ya jino linapongolewa bila utaalamu...maana nina ndugu yangu wa karibu aling'oa jino na sasa amevimba mpaka uvimbe umeenda shingoni..nini tufanye? Hawezi ku5 wa kunywa hata maji..