Madhara ya kung'oa Jino

Za asubuhi wanajf. Naomba mnisaidie kuniambia madhara ya jino linapongolewa bila utaalamu...maana nina ndugu yangu wa karibu aling'oa jino na sasa amevimba mpaka uvimbe umeenda shingoni..nini tufanye? Hawezi ku5 wa kunywa hata maji..
Hiyo ni hatar sana tafadhar mleteni hospital haraka
 
muwahishe haraka sana muhimbili kitengo cha koo na kinywa - ni hatari kubwa sana kama bado upo nyumbani!
 
alie mng'oa ali disturb baadh ya nerves na mara nying huwa jino la juu,kuna mtu kakushaur umpeleke muhimbii, do it instantly, mungu atakupa wepesi
 
Za asubuhi wanajf. Naomba mnisaidie kuniambia madhara ya jino linapongolewa bila utaalamu...maana nina ndugu yangu wa karibu aling'oa jino na sasa amevimba mpaka uvimbe umeenda shingoni..nini tufanye? Hawezi ku5 wa kunywa hata maji..

Oh My God !! hUO UVIMBI NI USAHAA tafadhali sana mwahishe Hospitali ya karibu bila kuchelewea !!
Pole sana na Apone haraka.
Good luck baby.
 
Back
Top Bottom