Madhara ya kujichua kwa wanaume!!!!

Madhara ya kujichua kwa wanaume!!!!

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
[h=5]HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi. Athari kubwa ya kupig puri ni kuwa hupunuza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.
2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu). Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema.
3.Humfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILI NA KUENDELEA.... Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round tatu fululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,ena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako. Amini au usiamini.Ukwelini kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!... Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.
4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua. Athari nyingine ya kujichua ni kuwa humfana mwanaume awe ni mtumwa.Kama alizoea kupiga puri wakati wa kulala,au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku.... Haijalishiyuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni lazima atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.
5.Humfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa bao. Hii hutokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka kadhaa. Jamani,nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke. Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali hii humfanya mwanaume ashindwe kupizi au kusimamisha of which hilo ni tatizo. Sasa inapotokea ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha kupiga puri,mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.
6. Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER. Gonjwa hili hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu. Nakuachia kazi ya ziada kufuatilia dalili na hasara za ugonjwa huu.
[/h]
 
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:

NINI USHAURI KWA WALOKWISHA ADHIRIKA! je kuacha peke yake inatosha kuwarudisha katika hali ya kawaida?
 
Back
Top Bottom