Madhara ya DP World tusiyoyaona leo

Madhara ya DP World tusiyoyaona leo

Ulimsikiliza Padre Dr. Kitima akitoa tahadhari ? Au ulikuwa unamalizia hedhi yako?

Ulisoma historia Drs la IV? Wamissionari walikuja na gia ipi? Walisaidia kupatikana uhuru au kusimika ukoloni? Au wakati wa kipindi cha historia ulitoroka kwenda kumpiga chabo maza wako na Mpemba au?

Ni rahisi kumtenga Mkristo na ibada lakini siyo rahisi kumtenga Muislam na ibada. Viwanda vya Bakhresa, MO, KIA, KAMAKA nk hakuna Misikiti ndani yake? Wewe bundi wa Gambosh sijui Sumbawanga wewe... Watanganyika wamejeruhiwa ujuwe...

Iron sharpens iron. Umekuta mada inajadiliwa kwa ustaarabu wewe umefilisika hoja ukaingiza dhihaka.

Mkataba wowote uliojadiliwa kwa tija lazima uzingatie kuchukuwa tahadhari kwa tatizo ambalo hata halipo sasa ili likijakutokea baadaye huko hamtalazimika kuvunja mkataba bali mtakuwa na ufumbuzi tayari maana uliishatangulia kujadiliwa huko nyuma.

View attachment 2661887

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Aisee nimeelewa na mtu na wanamna gani najibizana naye, kwahiyo kumbe Bakhressa, Mo etc kujenga misikiti kwenye maofisi yao kwako umeona ni kupandikiza uislamu? He he heeee itakuwa hujasafiri duniani ukaona viwanja vya ndege vina misikiti.

Wafanyakazi wa hayo makampuni uliyoyataja wanalazimishwa kufuata imani ya muajiri wao au?

Kwamba mkoloni alikuja afrika kwa jina la uwekezaji? Wewe kweli kilaza kiwango cha SGR na unasema ulihudhuria somo la historia darasa la saba?

Hofu inakuwasha wakija wawekezaji kutoka nchi za kiislamu tu ila wakija mashoga wenzako wa magharibi husemi kuwa wanakuja kueneza sera zenu za ushoga. Mipumbavu kama wewe itatuchelewwesha sana maendeleo. Wewe piga kelele ukichoka nenda kaliwe lakini kelele zako hazitafika popote.
 
Rais anaenda ziara Mwanza.

Hoja:-
1. Anaenda kuondoa wakfu wa serikali toka kwenye bandari hiyo ili kuruhusu DP World kuweka wakfu wao?

2. Anaenda kuwapooza Wasukuma kwa maneno matamu?

3. Ili utawale vizuri JMT, Kanda ya Ziwa ni lazima ushinde uchaguzi kwa sababu ndiyo inayotengeneza quorum ya kuongoza taifa, pia ndiko 75% ya rasilimali za nchi (watu na mali) zinakopatikana kwa wingi. Wasukuma pekee wako 19% ya idadi yote ya watu wa nchi.

4. Ni Kanda inayotegemewa sana kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiulinzi. Kwahiyo ni Kanda ya kimkakati. Inayo ndani yake shoroba kadhaa za maendeleo e.g. madini, utalii, ufugaji, kilimo, uvuvi nk.

5. Maprofesa na Maaskari wengi wanatoka Kanda hiyo.

Tusiyoyaona leo kuhusiana na madhara ya DP World:-

1. Nyufa mpya za muungano hazikwepeki.

2. Makanisa yajiandae kupoteza ardhi wakfu zao. Nchi haina dini ila ina udini. Kama Waarabu wataamua kueneza dini yao, na kwa kuwa sharti mojawapo la mkataba linasema wakiomba ardhi wanayotaka (watayopoint kwa kidole) bila kujali ndani ya ardhi kuna mali gani wala mpangaji wa ardhi ni nani wapewe bila masharti ya sheria ya kumiliki ardhi na serikali ndiyo iwajibike kuwafidia wanaohamishwa toka ardhi hiyo.

3. Kwa jinsi hiyo ni rahisi kwao kutaka eneo wakfu la Kanisa na kuweka miradi yao ikiwemo kujenga Msikiti ndani ya mradi. Wanaondoa Kanisa kwenye eneo na wanajenga Msikiti. Vitega uchumi vikubwa vyote vinavyomilikiwa na watu wa imani ya Kiislamu vina Misikiti imejengwa humo kwa ajili ya ibada.

4. Kiulinzi na usalama je, vikosi vyetu vitalazimika kutumia bandari ya Mombasa kutunza siri za kiulinzi na usalama vinapoagiza vifaa vya kijeshi?

Dhara baya zaidi:
JMT kupitia mkataba wake na DP World, (Kenya waliikataa DP World) haikuzingatia ukomo wa muda wa kuwekeza. Hii itatatiza baadhi ya itifaki za EAC zikiwemo za Uhamiaji, Forodha, Soko la Pamoja, Sarafu moja, Kiswahili (EAKC) na Shirikisho la Kisiasa; kusababisha sintojuwa kwa nchi wanachama kuhusiana na itifaki hizo zilizokwisharidhiwa na zinazotarajiwa kuridhiwa nje ya mkataba wa DP World na JMT.

Je, Serikali na Bunge zilizingatia haya?

Je, zilishauriana na serikali wanachama wa EAC kuhusu JMT kujiingiza DP World kwa mkataba usiojulikana muda wake?

Serikali moja ya EA itakapoanza kazi na kuzitaka hizo bandari, viwanda, shoroba za biashara, zoni za kiuchumi nk je, kutaibuka mgogoro na DP World?

Mkataba unasema utatuzi wake utakuwaje?

DP World walijulishwa wakati wa majadiliano kwamba nchi yetu iko na inaelekea kwy itifaki ya serikali moja ya EA?

Itifaki ya Shirikisho la Kisiasa la EAC litafikiwa chini ya miaka 100 kuanzia sasa, kama JMT itazipa DP World bandari zote maji na kavu, viwanda, ardhi, zoni za kiuchumi na shoroba za kibiashara itakuwaje pale ambapo EAC itakuwa nchi moja mapema ya muda wa mkataba wa DP World (kabla ya uhai wa DP World kuhitimika?)

Bandari ya Znz inaangukia wapi kwenye abracadabra hii kimahusiano ya EAC?

Je, wahusika waliwaza haya wakati wa kufikiria kujiingiza DP World na pia wakati wa kujadili na kupitisha Azimio la Bunge?

Tukiishawapa wageni kila kitu kutokana na kwamba sisi tumeshindwa kuviendesha licha ya utaalam tulio nao, bajeti tunazotengewa kila mwaka na pia soko la uhakika kuwepo, tutajikuta tumebaki bila kitu tunachoendesha wenyewe.

Hii maana yake ni kwamba serikali itakosa uhalali wa kuwepo kutokana na kwamba itakuwa haina tena kazi ya kufanya maana nchi yote itakuwa kwy ugenishwaji. Ni dhahir shahir kwamba ukoloni mpya huu ndiyo utajipa uhalali wa kuwepo!?

Tukiwapa wageni kila kitu maana yake tumeuza uhuru wa kiuchumi tumebakisha uhuru wa kisiasa kwa muda tu. Kitakachofuata mbeleni huko hawa wageni ndiyo watakaoamua nani awe kiongozi.

Tukifika hapo (na ni jirani sana kufika hapo) tutakuwa pia tumeuza uhuru wa kisiasa na sasa itakuwa ni ukoloni mpya 1000% ambao hautatanguka milele yote.

Nina uhakika serikali hii ikishindwa kuendesha bandari za Tanganyika haitoweza kamwe kuendesha SGR, MGR, CGR, JNHPP na ATCL. Hii ni miradi migumu sana kuendesha, hivyo Waarabu wajipange kuja kupewa.

Marais Jomo Kenyatta na Idd Amin matendo yao mafu yalizonga na kuhitimisha uhai wa EAC ya kwanza 1967 - 1977 miaka 10 tu. Safari hii naona ni JMT ndiyo itakayoua EAC hii ya sasa.

NB.
Baada ya ziara ya rais Kanda ya Ziwa, CHADEMA wanatakiwa kwenda Kanda ya Ziwa kuelezea upande wa pili (mbadala) wa mkataba wa DP World ili wananchi waelewe ukweli ni upi. Kazi ya msingi ya upinzani ni check and balance.

Taifa la Tanganyika halikwepeki.

Ukomo wa mkataba ni hoja ya jumla jumla inayoendelea kupotosha watu waliokwisha kupotoshwa sana kwenye hili suala la DP World.

Hauwezi kuuona ukomo wa muda kwenye mkataba MAMA uliopelekwa bungeni na bali utakwenda kuwepo katika hii mikataba ya kikazi inayokwenda kusainiwa baada ya huo mkuu kuwa umeshapitishwa bungeni.

Na huyo mwekezaji ni lazima ajisajili BRELA na hivyo moja kwa moja atajikuta akitumia sheria za kitanzania katika uendeshaji wa kibiashara atakazofanya kwa kuingia ubia na makampuni ya wazalendo.
 
Aisee nimeelewa na mtu na wanamna gani najibizana naye, kwahiyo kumbe Bakhressa, Mo etc kujenga misikiti kwenye maofisi yao kwako umeona ni kupandikiza uislamu? He he heeee itakuwa hujasafiri duniani ukaona viwanja vya ndege vina misikiti.

Wafanyakazi wa hayo makampuni uliyoyataja wanalazimishwa kufuata imani ya muajiri wao au?

Kwamba mkoloni alikuja afrika kwa jina la uwekezaji? Wewe kweli kilaza kiwango cha SGR na unasema ulihudhuria somo la historia darasa la saba?

Hofu inakuwasha wakija wawekezaji kutoka nchi za kiislamu tu ila wakija mashoga wenzako wa magharibi husemi kuwa wanakuja kueneza sera zenu za ushoga. Mipumbavu kama wewe itatuchelewwesha sana maendeleo. Wewe piga kelele ukichoka nenda kaliwe lakini kelele zako hazitafika popote.
You rank quasi my IQ with standard deviation of above 15.

You think in a way that proves that you are born of incest.

Ushoga ulipelekwa West toka Middle East kwa Waarabu basha wako unaowatetea. Kama wanajenga Misikiti humo kwanini wasijenge na Makanisa na Jamatini kama ilivyo vyuoni Chapels ili kusali na kuswali kuwe ni hiari na uhuru? Unafikiri brain ya Dr. Padre Kitima iliona umbali wa pua kama yako inavyoona! You are bleeding from your brain instead of your down! Baghosha!

You appear to be lunatic of the fact that the following Coy existed in colonial Afro:-

1. BNWACo - Donald McKenzie 1874.
2. IBEACo.
3. GEACo.
4. Sir. William MacKinnon 1st Baronet.

You are worthless being with pooped brain that can't decipher any details that colonial agents worked in troika system. You the nocturnal Owl.

As a nation we are losing our sovereignty to the horrible investor whose virtually 10% of his off-shore investments are litigated and contracts breached for lack of ROI, local content, royalty and contravention of the regional integrations's prospects. Mbuthi afo meku.

Surprisingly, you have chosen to be coffin in-lieu of boffin to team up with your fellow louse to fend Kleptocracts and oligarchs who prioritise state capture and lame-duck just for minority interest sake. Ng'ony wuoru/kibumbu kya thatha wenyu.

Your brain can solely juggle such technocratic matters in a Back-of-the-envelop operandi. Unaliwa tigo na Waarabu weye.

You the hermaphrodite is trying to castle thievocracy at the cost of the peril of schism of wananchi and rob them of their national commonwealth long achieved by sweat. Una jinsia mbili ka fisi weye.

Mummies like you will be flushed from our midst and kept in the museums for Artifact, Biofact and Ecofact, nyamafu mkubwa wewe usiyeliwa hata na fisi.

Swallow your pride when you present yourself before serious men.
Screenshot_20230619-001358.jpg

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
wazungu wanasema "opinion is like an a**hole everyone has one".
 
atuaminishe ujinga huu watu 60 m?
Ajabu sana! Nashangaa...

Kwanini hakuna uwazi 100%?
Sasa hivi baadhi ya viongozi wa chama eti nao wanaita mikutano kufafanua kilichotokea.

Hivi mtu km M'kiti yule wa wilaya ya Ilala ana maarifa gani ya masuala haya mpaka aje atoe ufafanuzi uwanjani?

1. Bunge liongee...
2. Wabunge waongee...
3. CCM kiongee...
4. Mitandao iongee...
5. Media ziongee...
6. Wasomi waongee...
7. Wapinzani waongee...
8. Wanaharakati waongee...
9. Viongozi wa Dini waongee...

Na wote hao 90% wanasisitiza mashaka yao...

Na kwanini basi hao wote wanaoongea wasingeshirikishwa awali kujadili mkataba au (hati ya makubaliano MoU) kabla ya kusainiwa?

So nani ana wajibu wa kusema kipi, lini, kwa vipi, kwa nani na nani wa kumtia hatiani huyo mwenye wajibu wa kusema endapo atathibitika amehatarisha maslahi ya taifa?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
atuaminishe ujinga huu watu 60 m?
NKuona wewe akulinunazo lakini huzitumii vizuri au una chembe chenbe za ubaguzi.

Ikiwa mzungu (ambae mmemfanya mungu wenu) aliyetutawala kwa miaka 40 kawaona DP World wanafata kawapa bandari ya kwanza Southampton, wakagsnys vizuri sana akawaongeza bandari ya pili, mpya kabisa na ya kipeke, DP Worwanafanya maajabu huko. Itakuwa wewe tukusikikize?

Jipime, yna mapungufu, "Punguani wahed".

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Rais anaenda ziara Mwanza.

Hoja:-
1. Anaenda kuondoa wakfu wa serikali toka kwenye bandari hiyo ili kuruhusu DP World kuweka wakfu wao?

2. Anaenda kuwapooza Wasukuma kwa maneno matamu?

3. Ili utawale vizuri JMT, Kanda ya Ziwa ni lazima ushinde uchaguzi kwa sababu ndiyo inayotengeneza quorum ya kuongoza taifa, pia ndiko 75% ya rasilimali za nchi (watu na mali) zinakopatikana kwa wingi. Wasukuma pekee wako 19% ya idadi yote ya watu wa nchi.

4. Ni Kanda inayotegemewa sana kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiulinzi. Kwahiyo ni Kanda ya kimkakati. Inayo ndani yake shoroba kadhaa za maendeleo e.g. madini, utalii, ufugaji, kilimo, uvuvi nk.

5. Maprofesa na Maaskari wengi wanatoka Kanda hiyo.

Tusiyoyaona leo kuhusiana na madhara ya DP World:-

1. Nyufa mpya za muungano hazikwepeki.

2. Makanisa yajiandae kupoteza ardhi wakfu zao. Nchi haina dini ila ina udini. Kama Waarabu wataamua kueneza dini yao, na kwa kuwa sharti mojawapo la mkataba linasema wakiomba ardhi wanayotaka (watayopoint kwa kidole) bila kujali ndani ya ardhi kuna mali gani wala mpangaji wa ardhi ni nani wapewe bila masharti ya sheria ya kumiliki ardhi na serikali ndiyo iwajibike kuwafidia wanaohamishwa toka ardhi hiyo.

3. Kwa jinsi hiyo ni rahisi kwao kutaka eneo wakfu la Kanisa na kuweka miradi yao ikiwemo kujenga Msikiti ndani ya mradi. Wanaondoa Kanisa kwenye eneo na wanajenga Msikiti. Vitega uchumi vikubwa vyote vinavyomilikiwa na watu wa imani ya Kiislamu vina Misikiti imejengwa humo kwa ajili ya ibada.

4. Kiulinzi na usalama je, vikosi vyetu vitalazimika kutumia bandari ya Mombasa kutunza siri za kiulinzi na usalama vinapoagiza vifaa vya kijeshi?

Dhara baya zaidi:
JMT kupitia mkataba wake na DP World, (Kenya waliikataa DP World) haikuzingatia ukomo wa muda wa kuwekeza. Hii itatatiza baadhi ya itifaki za EAC zikiwemo za Uhamiaji, Forodha, Soko la Pamoja, Sarafu moja, Kiswahili (EAKC) na Shirikisho la Kisiasa; kusababisha sintojuwa kwa nchi wanachama kuhusiana na itifaki hizo zilizokwisharidhiwa na zinazotarajiwa kuridhiwa nje ya mkataba wa DP World na JMT.

Je, Serikali na Bunge zilizingatia haya?

Je, zilishauriana na serikali wanachama wa EAC kuhusu JMT kujiingiza DP World kwa mkataba usiojulikana muda wake?

Serikali moja ya EA itakapoanza kazi na kuzitaka hizo bandari, viwanda, shoroba za biashara, zoni za kiuchumi nk je, kutaibuka mgogoro na DP World?

Mkataba unasema utatuzi wake utakuwaje?

DP World walijulishwa wakati wa majadiliano kwamba nchi yetu iko na inaelekea kwy itifaki ya serikali moja ya EA?

Itifaki ya Shirikisho la Kisiasa la EAC litafikiwa chini ya miaka 100 kuanzia sasa, kama JMT itazipa DP World bandari zote maji na kavu, viwanda, ardhi, zoni za kiuchumi na shoroba za kibiashara itakuwaje pale ambapo EAC itakuwa nchi moja mapema ya muda wa mkataba wa DP World (kabla ya uhai wa DP World kuhitimika?)

Bandari ya Znz inaangukia wapi kwenye abracadabra hii kimahusiano ya EAC?

Je, wahusika waliwaza haya wakati wa kufikiria kujiingiza DP World na pia wakati wa kujadili na kupitisha Azimio la Bunge?

Tukiishawapa wageni kila kitu kutokana na kwamba sisi tumeshindwa kuviendesha licha ya utaalam tulio nao, bajeti tunazotengewa kila mwaka na pia soko la uhakika kuwepo, tutajikuta tumebaki bila kitu tunachoendesha wenyewe.

Hii maana yake ni kwamba serikali itakosa uhalali wa kuwepo kutokana na kwamba itakuwa haina tena kazi ya kufanya maana nchi yote itakuwa kwy ugenishwaji. Ni dhahir shahir kwamba ukoloni mpya huu ndiyo utajipa uhalali wa kuwepo!?

Tukiwapa wageni kila kitu maana yake tumeuza uhuru wa kiuchumi tumebakisha uhuru wa kisiasa kwa muda tu. Kitakachofuata mbeleni huko hawa wageni ndiyo watakaoamua nani awe kiongozi.

Tukifika hapo (na ni jirani sana kufika hapo) tutakuwa pia tumeuza uhuru wa kisiasa na sasa itakuwa ni ukoloni mpya 1000% ambao hautatanguka milele yote.

Nina uhakika serikali hii ikishindwa kuendesha bandari za Tanganyika haitoweza kamwe kuendesha SGR, MGR, CGR, JNHPP na ATCL. Hii ni miradi migumu sana kuendesha, hivyo Waarabu wajipange kuja kupewa.

Marais Jomo Kenyatta na Idd Amin matendo yao mafu yalizonga na kuhitimisha uhai wa EAC ya kwanza 1967 - 1977 miaka 10 tu. Safari hii naona ni JMT ndiyo itakayoua EAC hii ya sasa.

NB.
Baada ya ziara ya rais Kanda ya Ziwa, CHADEMA wanatakiwa kwenda Kanda ya Ziwa kuelezea upande wa pili (mbadala) wa mkataba wa DP World ili wananchi waelewe ukweli ni upi. Kazi ya msingi ya upinzani ni check and balance.

Taifa la Tanganyika halikwepeki.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Tupe na faida tusizoziona sasa.
 
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.
Ingawa sisapoti mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa, but kwa anaelewa bandarini kuna changamoto nying san kama humu mnafuatilia na kuingiza mizigo nchini kupitia bandari salama. Ukiritimba umekufuru pale, cha msingi serikali iingie mkataba weny maslahi mapana kwa Taifa. Then muwekezaji apige kaz ili tujiridhishe kwa huduma zao pale bandarini.
 
NKuona wewe akulinunazo lakini huzitumii vizuri au una chembe chenbe za ubaguzi.

Ikiwa mzungu (ambae mmemfanya mungu wenu) aliyetutawala kwa miaka 40 kawaona DP World wanafata kawapa bandari ya kwanza Southampton, wakagsnys vizuri sana akawaongeza bandari ya pili, mpya kabisa na ya kipeke, DP Worwanafanya maajabu huko. Itakuwa wewe tukusikikize?

Jipime, yna mapungufu, "Punguani wahed".

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
😁😁

Wewe hauwazi sawa sawa,

Nchi za ulaya na Magharibi, nyingi maliasili zao zilishagaisha na ama kupungua saana, zinaishi kwa upolaji

Zinavamia nchi zenye maliasili ili kuiba na kupeleka makwao na maisha yanaendelea, zinafanya hivyo kwa sababu zinauwezo wa kijeshi na siraha wanazo

Sasa wewe na nchi yako hii ukizitumia hovyo maliasili zako hizi na uwezo wako kijeshi ni mdogo, siraha huna, unataka wananchi tuishije?

Ungana na waungwana kupinga kubinafisishwa Bandari zetu Tanganyika

Maliasili ni urithi wetu
 
😁😁

Wewe hauwazi sawa sawa,

Nchi za ulaya na Magharibi, nyingi maliasiri zao zilishagaisha na ama kupungua saana, zinaishi majeshi jeshi,

Zinavamia nchi zenye maliasili ili kuiba na kupeleka makwao na maisha yanaendelea, zinafanya hivyo kwa sababu zinauwezo wa kijeshi na siraha wanazo

Sasa wewe na nchi yako hii ukizitumia hovyo maliasili zako hizi na uwezo wako kijeshi ni mdogo, siraha huna, unataka wananchi tuishije?
Wewe unaewaza vizuri "maliasiri" ndiyo mdudu gani?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
.
 
Back
Top Bottom