Madhara ya Corona na Mapenzi/Mahusiano

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,991
Habari hii inaweza isiwahusu wanandoa.

Wale Kadamnasi hali ni tete wale wa Uganda/Kenya/Ghana kwenye full lockdown wameamua kulia ama kutoa vilio vyao kupitia mitandaoo

Nimeona Ghana Raisi akitoa hotuba mabinti wanaandika tunaomba Mh. President tuko horny sana tukazibuliwe hata nusu saa tu

Wengine wanaomba Serikali walinde mabwana zaoo, masugar mumy wanatesa mabwana zao

Lockdown inahusisha upya bikira za watu soon

Na huku Tanzania bado hamjaathirikaa ee?
 
Trump aliyoyasema kuhusu Africa hakukosea,hivi uko lockdown habari ya kuwaza kuliwa papuchi unawazaje?
 
Hii lock down ikija Bongo sijui mabaharia tutaishije sasa!
Hii kitu ina madhara hasi na chanya kwenye mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…