Ahsante@Lizzy
Mbona cna pressure wala stroke na kwenye ukoo wetu tupo kama watano hv...@King kong
Kama unaweza ukapata Soy sauce hapo ulipo basi nunua. Yenyewe ina chumvi kidogo waweza kuwa unaweka badala ya chumvi. Ila muhimu zaidi ni wewe kuanza kujizoesha kula chumvi kidogo taratibu, kila wiki/siku punguza "a pinch" (kiasi unachoweza kushika na vidole vyako viwili) , utaenda ukizoea.mkuu, umenichekesha sana huu uzi wako, lakini pia mimi nimekuwa natumia chumvi sana, naweza hata kula hivihivi
ushauri uliotolewa wa kupunguza chumvi ni mzuri, je? alternatively unaweza ukatumia ukatumia vyaku gani ili kuweza kufanya upunguze matumizi ya chumvi nyingi
Ili kujua kama ni tatizo au laa tuambie je unaweza kuweka chumvi kwenye chai au juisi soda etc?..nadhani kuweka chumvi kwenye ngano si ajabu sana na wala haijaonesha kwamba umevunja rekodi ya wala chumvi kiongozi.kama uwezi weka chumvi kwenye soda,chai,juisi,etc na bado u feel some taste on sweets then usiogope bado chumvi unayotumia ni ya kiwango cha kawaida labda issue usipende kuiongeza on table,madhara ni kama yaliyoainishwa na wachangiaji waliopita.Wana Jf naomba ushauri,mi tatizo langu ni kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida yaani msosi ukifika mezani naongeza kabla ya kuonja...!?.Bila shaka ingekuwepo tuzo ya watumiaji chumvi ningechukua Afrika mashariki na kati,Record niliyoiweka nilikuwa naweka chumvi kwenye chapati za kusuma mezani!?
Naomba nijue madhara na jinsi ya kuacha...
jiandae na magonjwa ya kizungu kama lile gonjwa la importance, uume unao, lakini ndio huo uko likizoWana Jf naomba ushauri,mi tatizo langu ni kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida yaani msosi ukifika mezani naongeza kabla ya kuonja...!?.Bila shaka ingekuwepo tuzo ya watumiaji chumvi ningechukua Afrika mashariki na kati,Record niliyoiweka nilikuwa naweka chumvi kwenye chapati za kusuma mezani!?
Naomba nijue madhara na jinsi ya kuacha...
Wana Jf naomba ushauri,mi tatizo langu ni kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida yaani msosi ukifika mezani naongeza kabla ya kuonja...!?.Bila shaka ingekuwepo tuzo ya watumiaji chumvi ningechukua Afrika mashariki na kati,Record niliyoiweka nilikuwa naweka chumvi kwenye chapati za kusuma mezani!?
Naomba nijue madhara na jinsi ya kuacha...
mkuu, umenichekesha sana huu uzi wako, lakini pia mimi nimekuwa natumia chumvi sana, naweza hata kula hivihivi
ushauri uliotolewa wa kupunguza chumvi ni mzuri, je? alternatively unaweza ukatumia ukatumia vyaku gani ili kuweza kufanya upunguze matumizi ya chumvi nyingi