Madhara ya chumvi mbichi..

Hii ni chumvi hii chumvi tunayoijua ni chumvi au ni chumvi ile ambayo inatumika katika lugha za kileo!? maana lugha hii inazidi kupata maneno mapya kila kukicha. Wakati mwingine inabidi uulize unamaanisha nini!?

Afu ukizingatia imeathiri maeneo ya kinywa...! Nawaza kama wewe
 


Arehemiwe yeye na wengine!!!!!!!
 
Chumvi mbichi ni ile unayoengeza ukiwa mezani,yaani haikuungwa Jikoni moja kwa moja,mfano unakula Chips unaagiza chumv unaweka,sasa hii ikiingia mwilini ni hatari,tuache kula chumvi mbichi,kila chumvi iungwe jikoni#Stop kuweka Chumvi Mezani#
 
Hapa mimi bado sijaelewa,,maana naona kama kuna vitu viwili tofauti vinavyojadiliwa hapa nakufanywa kitu kimoja,,,,,,hii thread inamaanisha ,,,ile chumvi ambayo aka yake ni dawa ya mboga????? Au ile chumvi nyingine inayopatikana uvinza aka chumvini???? Msaada tafadhali
 

eti ni chumvi ya mboga
 
Haaaaaaaa mayoooo hivyo
CHUMVI MBICHI +ULIMIMATE=FANGASI.LOL kazi ipo
 
we SI unit embu njoo fafanua vizuri watu tunajikoroga huku hata jasho lina chumvi ujue
 
Last edited by a moderator:
Hahahaahah haya namsubiri maana ni mwalimu wangu wa kiswahili pia lol


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Mwandani wangu wa utotoni hadi ukubwani mimi49 kakujibu vyema...

Miye labda nikupe tu darsa la Kiswahili kama siku zote...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…