Acha kunizeesha babu we
Cc farkhina.....:shocked:
duh kumbe unafuatilia article za magazeti.Chumvi mbichi ni ile ya kuongezea mezani...kuna article nimeisoma!!Mi nilidhani n chumvi isokuwa na madini ya kutosha ya chuma/Iodine!!
http://habarileo.co.tz/index.php/makala/13002-chumvi-kiungo-muhimu-chenye-madhara-kitumikapo-vibaya
Bora hata umwambie loh :smile-big::smile-big::smile-big:Weye ndio kwanza unakaribia kutimiza miaka 21 ππ... Jerrymsigwa usimzeeshe binti banaaaa ππ
Ha ha ha ha haaa ulisahau kusema...shkamoo unataka ninyima nini!
Just to acknowledge your brief but comprehensive comment, aint meant anything more dude!
Acha kunizeesha babu we
Cc farkhina.....:shocked:
Bado mwali kabisaaa...:smile-big:Hahahahahaha ataka uote mvi mtoto mdogoooo..
...labda anataka kukunyima wali wa nazi na mchuzi wa kuku ππ na pembeni kuna ndizi mbivu lol!!!
ha ha ha alikuwa kavaa hereni ya ulimi huyu angalia ulivo na jishimo loh....Ana fungus!!Hii inatisha jamani
Ahsante...Kwani wewe hupendi kujua yanayojiri ulimwenguni au unaendaga globalpublishers tu?duh kumbe unafuatilia article za magazeti.
hongera
mi nilidhani chumvi ya chumvini hahaha
Hii ni chumvi hii chumvi tunayoijua ni chumvi au ni chumvi ile ambayo inatumika katika lugha za kileo!? maana lugha hii inazidi kupata maneno mapya kila kukicha. Wakati mwingine inabidi uulize unamaanisha nini!?
hii cumvi ile yenye ladha ya chumvi ila si chumvi halisiHehehhe kwenye picha naona alituma sana salam ndo kapata iyo
Ndio sisi, kwani ile "chumvi" ya maeneo ni mbichi ama imepikwa? farkhina