chumvi mbichi ndio nini?
Sent from my blackberry 9320 using jamiiforums
Chumvi mbichi ni ile ya kuongezea mezani...kuna article nimeisoma!!Mi nilidhani n chumvi isokuwa na madini ya kutosha ya chuma/Iodine!!Chumvi mbichi ndio nini?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Chumvi mbichi ni chumvi ambayo haijatiwa madini ya iodine!
Soma tena nimekuandikie au ngoja nimuite watu8 maana ana majibu ya kila kitu loh!!!Ohk bi shosti...santeee
Hahahaahah haya namsubiri maana ni mwalimu wangu wa kiswahili pia lolSoma tena nimekuandikie au ngoja nimuite watu8 maana ana majibu ya kila kitu loh!!!
Hii ni chumvi hii chumvi tunayoijua ni chumvi au ni chumvi ile ambayo inatumika katika lugha za kileo!? maana lugha hii inazidi kupata maneno mapya kila kukicha. Wakati mwingine inabidi uulize unamaanisha nini!?

kaka midomo ya kike kabisa hii so chumvi isiyokuwa chumvi haiwezi kuwa applicable hapa!
Kakuelekeza sehemu inapochimbwa...unajua kuna njia tofauti za kutengeneza chumvi..mojawapo ni mabwawa ya maji ya bahari linasubiriwa jua kali yanakauka inakusanywa chumvi...njia nyingine ni kupikwa nadhani...marehem babaangu alikuwa na shamba la chumvi....:smile-big:Amenijibu apo juu ila hata sijafahamu metoa macho tu lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kakuelekeza sehemu inapochimbwa...unajua kuna njia tofauti za kutengeneza chumvi..mojawapo ni mabwawa ya maji ya bahari linasubiriwa jua kali yanakauka inakusanywa chumvi...njia nyingine ni kupikwa nadhani...marehem babaangu alikuwa na shamba la chumvi....:smile-big:
amina rabil allaminaMungu amlaze mahali pema peponi amina..
Kakuelekeza sehemu inapochimbwa...unajua kuna njia tofauti za kutengeneza chumvi..mojawapo ni mabwawa ya maji ya bahari linasubiriwa jua kali yanakauka inakusanywa chumvi...njia nyingine ni kupikwa nadhani...marehem babaangu alikuwa na shamba la chumvi....:smile-big:
huyu amekaa kama ana SEBORRHEIC DERMATITTIS! Ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na fungus Malassezia unaotupata kutokana na kuongezeka kwa talg production kwenye ngozi...
Acha kunizeesha babu we
Cc farkhina.....:shocked: