stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 811
- 1,753
Hii nchi unaweza ukaamka kesho ukakuta kila kitu umekatazwa kina madhara!Kuchuchumaa wakati wa kujisaidia choo kunahusishwa na baadhi ya madhara/hasara, hasa kwa watu fulani:
Madhara yanayoweza kutokea:
- Maumivu ya magoti na viungo – hasa kwa wazee au wenye matatizo ya magoti (arthritis)
- Mishipa ya varісi (varicose veins) – kusimama/kuchuchumaa mara kwa mara kwa muda mrefu kunaweza kuzidisha tatizo hili
- Ugumu kwa wajawazito – baadhi hupata shida ya usawa au maumivu ya mgongo
- Hatari ya kuanguka – kwa wazee au watu wenye matatizo ya usawa
- Si rahisi kwa wenye ulemavu – hasa wale wanaotumia viti vya magurudumu
Upande mzuri (kwa uwiano): Wataalamu wengi wa afya wanasema choo cha kuchuchumaa husaidia kunyoosha vizuri utumbo wa chini (rectum), hivyo kufanya haja kubwa iwe rahisi zaidi na kupunguza msukumo — jambo linaloweza kusaidia kuzuia tatizo la bawasiri (hemorrhoids) na kuvimbiwa.
Kwa ujumla, kwa mtu mzima mwenye afya njema, choo cha kuchuchumaa si hatari — tatizo hutokea zaidi kwa watu wenye magonjwa ya viungo, mishipa, au wazee. Kama una maumivu ya mara kwa mara unapotumia choo hicho, ni vizuri kuonana na daktari.
Ukiona unashindwa kuchuchumaa when downing a mighty shit jua una shida za madini kv calcium kwenye mifupa yako na upo uwezekano unaishi life style ya kigoigoi. Malalamiko yoyote ya kuchuchumaa yanafaa kuletwa na mwenye umri wa mbele ya 65 years na zaidi.Kuchuchumaa wakati wa kujisaidia choo kunahusishwa na baadhi ya madhara/hasara, hasa kwa watu fulani:
Madhara yanayoweza kutokea:
- Maumivu ya magoti na viungo – hasa kwa wazee au wenye matatizo ya magoti (arthritis)
- Mishipa ya varісi (varicose veins) – kusimama/kuchuchumaa mara kwa mara kwa muda mrefu kunaweza kuzidisha tatizo hili
- Ugumu kwa wajawazito – baadhi hupata shida ya usawa au maumivu ya mgongo
- Hatari ya kuanguka – kwa wazee au watu wenye matatizo ya usawa
- Si rahisi kwa wenye ulemavu – hasa wale wanaotumia viti vya magurudumu
Upande mzuri (kwa uwiano): Wataalamu wengi wa afya wanasema choo cha kuchuchumaa husaidia kunyoosha vizuri utumbo wa chini (rectum), hivyo kufanya haja kubwa iwe rahisi zaidi na kupunguza msukumo — jambo linaloweza kusaidia kuzuia tatizo la bawasiri (hemorrhoids) na kuvimbiwa.
Kwa ujumla, kwa mtu mzima mwenye afya njema, choo cha kuchuchumaa si hatari — tatizo hutokea zaidi kwa watu wenye magonjwa ya viungo, mishipa, au wazee. Kama una maumivu ya mara kwa mara unapotumia choo hicho, ni vizuri kuonana na daktari.
Akileta madhara ya ugali ngosha si utampiga ngumiBaadae uje ulete madhara ya kula ugari .....🤣🤣masikini bwana tuna shida sana
wanga yote inasababisha cancer...Kula ugali kuna madhara pia ah
Na mzoom tu kwanza 🤣🤣🤣Akileta madhara ya ugali ngosha si utampiga ngumi
Huu sio ustaarabu. Hujafikia hatua ya kuotwa mpumbavu lakini ndio unakoelekea. Mtu ametoa mada nzuri ya kujadili na kuelimisha, wewe unaleta jokes, unapata faida ganiMambo yetuu
View attachment 3643301
ugali ndio chakula kinachoshibisha kisawasawa mjuba, #bring back our ugaliKula ugali kuna madhara pia ah
kansa itoke wapi wakati familia nyingi mlo wao ni ugali tu kutwa mara mbili au tatu kila siku, hata mwezi mzima.wanga yote inasababisha cancer...
Huu ndio.ukweli watake wasitake..hata MUNGU kiufundi aliuficha mkundu kimakusudi ili ukitaka kujisaidia mtu achuchumae ndio ujitokeze ..lakini bila hivyo mtu huyo atakua kajinyea
Kwani Kuna Kunya Bila Kuchuchumaa..??
Ukiona Umekunya Bila Kuchuchumaa,Kaa Ukijua Ya Kwamba Umejinyea....
###RahaYaKunyaKuchuchumaa###
Tutashindwa sasaKuchuchumaa wakati wa kujisaidia choo kunahusishwa na baadhi ya madhara/hasara, hasa kwa watu fulani: