Utajuaje kama ushaanza kuwa na madhara? Huenda unafanya mambo ya ajabu sema watu hawakwambii.Ndugu zangu siku zote hizi nilikuwa nimekariri kuwa bangi ina madhara
Sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi mzungu anavuta bangi saana lakini jamaa ni mtu poa kabisa wala hana matatizo na watu
Sasa kuna siku nilijaribu kuvuta bangi.
Alinipa nikavuta kabisa. Sasa nina wiki moja 1 nasubiri madhara ya bangi.
Labda nitakuwa mgomvi au tapeli au mtu yeyote mbaya mbele za watu naona kimya kabisa, tabia zangu ni zile zile tu hakuna kilichobadilika
Sasa nauliza ndugu zangu hivi madhara ya bangi yanatokea baada ya siku ngapi?
Ndiyo imekufanya ujikojolee?Bangi ni tamu aiseee
Bange haina tatizo,ila tatizo uanzia kwa kichwa yakoNdugu zangu siku zote hizi nilikuwa nimekariri kuwa bangi ina madhara
Sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi mzungu anavuta bangi saana lakini jamaa ni mtu poa kabisa wala hana matatizo na watu
Sasa kuna siku nilijaribu kuvuta bangi.
Alinipa nikavuta kabisa. Sasa nina wiki moja 1 nasubiri madhara ya bangi.
Labda nitakuwa mgomvi au tapeli au mtu yeyote mbaya mbele za watu naona kimya kabisa, tabia zangu ni zile zile tu hakuna kilichobadilika
Sasa nauliza ndugu zangu hivi madhara ya bangi yanatokea baada ya siku ngapi?
Starehe gharamaUnavuta ikusaidie nini?
Mkuu salute kwakoBangi ina madhara lakini ni kwa watumiaji wasio jielewa
Kama pombe ilivyo na madhara kwa wanywaji wa hovyo hata bangi haitakiwi kutumika hovyo
Unavuta bangi kila siku kama kula ugali?
Lazima kuna matokeo ya bangi yataonekana yani madhara
Unaweza ukatumia kwa wiki mara moja na ukaenjoy sana
kwa namna hii unaweza kutumia hata miaka yote ya maisha na mtu hawezi kujua kama unatumia
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mi najua wabunge kadhaa na Doctors wanatumia hii kitu wala huwez kujuaInategemea na umri, kuna watu wako very smart lakini wanatumia bange
Sent using Jamii Forums mobile app