Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,560
Una ushahidi gani kuwa kuwa hivyo ni madhara ya bangi mbichi?
Unadhani wenye akili timamu wanaweza fanya ivyo??Una ushahidi gani kuwa kuwa hivyo ni madhara ya bangi mbichi?
Ambao hawana akili timamu ndiyo wavuta bangi mbichi?Unadhani wenye akili timamu wanaweza fanya ivyo??
Google utapata majibuAmbao hawana akili timamu ndiyo wavuta bangi mbichi?
wanaume wa dar walipo jaribu kutumia kitu ya ARUSHA
Penda cheka wewe