Madhaifu bongo movie

Madhaifu bongo movie

Youngstunna

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
286
Reaction score
322
Habarini wakuu poleni na michakato ya maisha.

Moja kwa moja niende kwenu nyie ma actors/actress wa bongo pamoja na directors,producer's mnakwama wapi ndugu zanguni ? Je tatizo ni nini? Ni scripts? Au budget au production facilities kwanini movie zenu zinakosa mvuto? Yani badala ya watazamaji ku enjoy watu wanakereka !!! Ni kwamba mnashindwa hata kuiga kwa wenzetu.

Kwanza tumechoka dhamira zenu kwenye muvi asilimia tisini ni uchawi,mapenzi.Pili waigizaji wengi hawawezi kuvaa uhusika kabisa yani mtu anaoneka kabisa hawezi ku act ana force,Jarbuni kutafuta waigizaji competent na sio kila muhusika atafaa kwa kila kipande alafu scene moja lazma irudiwe hata miezi ilimradi muigizaji aweze ku master.

Alafu jaribuni kupitia script zenu nyingi huwa za hovyo yani mnashindwa kuwa wabunifu mbona wenzenu wa philipino tunaona tamthiliya mazingara na bajeti ya kawaida ila zinavutia sana mfano sijui The Promise, MaraCrala na nyingine nyingi.

Kigezo cha bajeti sio kweli ukweli ni kwamba script zenu mbovu na wengi wenu hamuwezi kuvaa uhusika. Mfano nilicheki muvi moja ya bongo muvii eti kipindi alikua ni mtoto ni lulu amekuwa mkubwa eti ni Johari watu hata hawafanani mnafeli na mnatukera watazamaji.
 
Tunajitahidi jamani. 🤓🤓

On a serious note though....kuna new blood kwenye industry so CHANGES are coming. In the next two years mambo yatakuwa tofauti sana....trust me.

Kwa kuanzia tu angalia #WeMen ya Max Rioba. It's a mini series....tofauti kabisa na hizi nyingine za kibongo movie kutoka kwa kina JB and the likes. Max yuko insta na unaweza kuiangalia #WeMen kwenye insta story yake.
 
Watakapo anza ku act atleast karibu na ukweli niambieni,
Hizi za jini anavuka barabara anaangalia huku na huku asigongwe gari siwezi
 
Ngoja nikacheki mkuu
Tunajitahidi jamani.

On a serious note though....kuna new blood kwenye industry so CHANGES are coming. In the next two years mambo yatakuwa tofauti sana....trust me.

Kwa kuanzia tu angalia #WeMen ya Max Rioba. It's a mini series....tofauti kabisa na hizi nyingine za kibongo movie kutoka kwa kina JB and the likes. Max yuko insta na unaweza kuiangalia #WeMen kwenye insta story yake.
 
Hahaha kuna moja Jamaa kamfumania rafiki yake wa high school yupo na demu wake chumbani huyo rafiki yake alikua ana m force huyo demu ku sex nae jamaa kachukua kisu kwa jaziba akataka kumchoma mshikaji wake kisu kikamchoma demu wake ,sasa eti kakaa na huyo demu anavuja damu jamaa analia eti anambembeleza usife mama hadi usiku ukafika demu hana fahamu jamaa napika chakula eti anamlisha demu na huku demu kazimia jamaa anatandika wanalala kesho yake eti anapika uji hahaha yani upuuzi.
Watakapo anza ku act atleast karibu na ukweli niambieni,
Hizi za jini anavuka barabara anaangalia huku na huku asigongwe gari siwezi
 
Back
Top Bottom