terabojo
JF-Expert Member
- Aug 3, 2010
- 215
- 46
Wana JF na wasomaji wote. Ninadhani ipo haja ya wizara husika kuchunguza na ikibainika aliyetoa oda/amri/waraka husika afukuzwe kazi. Jumamosi nilipanda ga5ri la Abood la saa 8 mchana na kufika kibaha kwa mfipa saa 12.30ambapo tulikuta foleni kutokana na kadhia ya mizani. Hatukufika stendi ya ubungo mapema. Tulibahatika kufika saa 10.40 asubuhi ya Jumapili. Leo katika kipindi fulani cha radio 1 nikasikia maguguli zatazungumza na wana habari. Kweli ni sawa hilo? Binafsi nadhani inabidi awache ubabe ambao kama unawaletea rai shuluba kama za jumamosi ni mbaya kama ufisadi. Na yeye lazima akemewe. :shocked: