kipeta singo
Member
- Oct 25, 2021
- 5
- 10
Naomba kuuliza hili jambo miaka kadhaa imepita watu waliwahi kuuliza connection za kupata ajira za kusafirisha magari nchi jirani maarufu kama IT lakini hakuna mrejesho je ni kwamba hizi kazi hazipatikani moja kwa moja nchini au watoa connection wamekua wachoyo kwa upande huu?