Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Kuna kila dalili za mgomo wa madereva wa mabasi ya mwendokasi (DART) muda wowote kama Management ya UDART na Serikali hawatatafuta suluhu ya matatizo yanayowasibu watumishi hawa.
Moja ya sababu chache zilizotufikia japo si zote ni zifuatazo;
1. Mazingira magumu ya kazi
2. Kesi nyingi za barabarani kubambikiziwa madereva wa UDART wakati wanao sababisha ajali ni wale walio vamia barabara za mwendo kasi.
3. Management ya UDART kuto kuwa na taratibu nzuri katika utendaji na maamuzi.
Hilo namba 2 hapo juu ndio limewavunja moyo kabisa madereva, japo wanawajibu wa kuzingatia sheria za barabarani lakini inaonekana trafic wapo kimaslahi zaidi kwa kuwa madereva wa UDART hawana uwezo wa kutoa chochote.
Kuna ulazima wa Serikali kupitisha sheria za kulinda miundo mbinu ya DART kama ilivyo miundo mbinu ya reli.
Mengine yanakuja.