Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo anayevumilia ni dereva wa boda boda au mtembea miguu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo anayevumilia ni dereva wa boda boda au mtembea miguu??
Hahahaaa!Macho ya emmy makali eeee .... cjui kaona nn [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Tuombe kwa ajili gani? Waache hivohivo kama ni mauti nayawakute maana hata Mungu mwenyewe anawaonaHapo ni kupiga magoti na kumuomba mungu
Dereva wa boda boda akili yake kwa askari tigo tu. Hayo mengine mutaona nyinyi watembea kwa miguu.Ww wadhan kuendesha hiyo bodaboda huku akijua abiria wake "chupi mkononi" pana usalama kweli hapo? sidhani
Yeye sio mgeni,hastahili kwenda Guest house!Hapo si anyoshe tu hadi gesti
jf members wanaongezeka kila siku Mkuu, mwakajuzi nakumbuka ilikuja na content nyingine.Picha ya mwaka juzi hio.
Kuna thread yake hapa.
ha ha ha hajf members wanaongezeka kila siku Mkuu, mwakajuzi nakumbuka ilikuja na content nyingine.
nasasa ameiketa na content nyingine, cha msingi were unatakiwa kuchangia kwa unachokiona yaliopita si ndwele.