samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,269
una uhakika hiyo ni baby walker na automatic pia....?Yani kisa kujua kuendesha vibaby walker vya automatic ndio unajisifu kwamba wewe ni dereva haswa
Ndiouna uhakika hiyo ni baby walker na automatic pia....?
siendeshi gari la abiria hiyo ni my private car.....hata ikitokea nimekufa nitakua alone[emoji12] [emoji12]Chungeni maisha ya wenzenu.
Na mali zao bila kujali kama kuna askari au la.
Spidi sio ujanja. Na sio umahiri barabarani.
sawa mtoto wa shule zingatia masomo.....! vipi mshafunga?Ndio
kweli mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nyakua ni operesheni nzuri sana tena kwa sisi tunaoamini unyakuo.
Tayari mzee,nipo na simu ya mama hapa ndio natumia kuchatsawa mtoto wa shule zingatia masomo.....! vipi mshafunga?
poa poaTayari mzee,nipo na simu ya mama hapa ndio natumia kuchat
Hyo speed meter inavyoonesha si baby walker hyo itakuwa ford,Toyota tx na zingine lkn si baby walker.Yani kisa kujua kuendesha vibaby walker vya automatic ndio unajisifu kwamba wewe ni dereva haswa
Mfano;Vw golf gti ni baby walker au si baby walkerHyo speed meter inavyoonesha si baby walker hyo itakuwa ford,Toyota tx na zingine lkn si baby walker.
Kama ni hvyo sawa nilijua ni wakina ist na vitz.Mfano;Vw golf gti ni baby walker au si baby walker
Puuumbafuu! Bora ufe wewe ukitugongea mifugo yetu je!?siendeshi gari la abiria hiyo ni my private car.....hata ikitokea nimekufa nitakua alone[emoji12] [emoji12]
mifugo unafugia barabarani[emoji2] [emoji2] tutapita nayoPuuumbafuu! Bora ufe wewe ukitugongea mifugo yetu je!?
[emoji23][emoji23][emoji23]. We jamaa shenzi sana.Puuumbafuu! Bora ufe wewe ukitugongea mifugo yetu je!?