Madereva tapeli baadhi VS wamiliki magari Uber

Wenye gari mnamatatizo sana ya uelewa. Ivi mtu unakopa, inanunua gari, kisha unamkabidhi mtu kisa analeseni!! Nilinunua bajaji na nilipokamilisha vibali niliipaki mbele ya nyumba nikaweka kibao inaitaji dreva. Wakaja wengi sharti langu unapaswa kulipa malipo ya mwezi mmoja. Wakasema hutapata mtu! Ilikaa siku nane akatokea mtu anaeitaji ,akanilipa pesa ya wiki tatu. Huwezi weka milioni saba alafu umpe mtu bila kushea chochote!! Hatakuwa makini!! Akishea atatunza chombo, akizingatia atoe pesa yake, apate faida. Ndugu huu mwaka wa nne nina bajaji tatu. Zote nalipwa pesa ya mwezi kabla ya kazi. Sina tatizo.
 
Dawa ndogo tu,wabambike kesi isiwe ya madai..unampeleka mahakama ya mwanzo....unapelekesha mambo mbona watakaa wenyewe fasta wanalipa pesa yako.umemaliza watapeana taarifa wenyewe huko....
 
Wenye gari mnamatatizo sana ya uelewa. Ivi mtu unakopa, inanunua gari, kisha unamkabidhi mtu kisa analeseni!! Nilinunua bajaji na nilipokamilisha vibali niliipaki mbele ya nyumba nikaweka kibao inaitaji dreva. Wakaja wengi sharti langu unapaswa kulipa malipo ya mwezi mmoja. Wakasema hutapata mtu! Ilikaa siku nane akatokea mtu anaeitaji ,akanilipa pesa ya wiki tatu. Huwezi weka milioni saba alafu umpe mtu bila kushea chochote!! Hatakuwa makini!! Akishea atatunza chombo, akizingatia atoe pesa yake, apate faida. Ndugu huu mwaka wa nne nina bajaji tatu. Zote nalipwa pesa ya mwezi kabla ya kazi. Sina tatizo.
Shukran sana wazo zuri nitaijaribu hii
 
Mkuu kwa nini kwenye mkataba usiweke kipengele cha fine za barabarani ziwe zinalipwa na dereva kama kosa kasababisha yeye kwa makosa kama kutofunga mkanda, overspeed na mengineyo lakini kwa makosa ambayo yanakua sababu ni wewe boss kama vile tairi kuisha, taa kutofanya kazi, vibali nk uwe unalipa wewe sababu hiyo inakuwa ni kosa la boss na akishindwa kulipa yeye basi alipe mdhamini wake wakishindwa wote basi uruhusiwe kwenda kumshitaki mahakani kwa kukiuka makubaliano ya mkataba.

Ebu ipitie hiyo inaweza saidia mkuu.
 
Je unawapa cellphone iliyosajiliwa kwa jina lako, ili kujua alikwenda wapi na wapi ma angalau kukupa mwanga wa umbali aliosafiri kwa siku husika na mapato?
Weka mtu atakayefuatilia utendaji na ufanisi wa biashara yako, Nina imani u mtu mzima na umedhamiria k uifanya hiyo biashara, hivyo utaweza kukabiliana na kutafuta ufumbuzi wa changamoto kama hizi ili ziwe na manufaa kwako. Ila kama imefikia kikomoni na huna jinsi ni kheri uachane nayo.
 
biashara ya uber tanzania.. anaefaidi sana ni uber wenyewe wenye app na dereva anaeendesha gari yake mwenyewe....

ila ukisema dereva ale, uber wenye app nae ale, na wewe mwenye gari ule.. kwa gari ilo ilo moja.. watu watatu wote hamuwezi kufaidika mridhike
 
Wenye gari mnamatatizo sana ya uelewa. Ivi mtu unakopa, inanunua gari, kisha unamkabidhi mtu kisa analeseni!! Nilinunua bajaji na nilipokamilisha vibali niliipaki mbele ya nyumba nikaweka kibao inaitaji dreva. Wakaja wengi sharti langu unapaswa kulipa malipo ya mwezi mmoja. Wakasema hutapata mtu! Ilikaa siku nane akatokea mtu anaeitaji ,akanilipa pesa ya wiki tatu. Huwezi weka milioni saba alafu umpe mtu bila kushea chochote!! Hatakuwa makini!! Akishea atatunza chombo, akizingatia atoe pesa yake, apate faida. Ndugu huu mwaka wa nne nina bajaji tatu. Zote nalipwa pesa ya mwezi kabla ya kazi. Sina tatizo.
Weka daftari, biashara bila daftari...... Daftari ya teksi ni mita zinazofungwa ndani ya gari na biashara hufanyika bila makubaliano ya nauli kati ya dereva na abiria kwani mita itaonesha umbali na bei, kwisha. Tatizo wenye teksi wanapenda uguruguru.
 
ZAWADI NONO KWA ATAKAE FUMBUA TATIZO HILI.

MADEREVA TAPELI(baadhi) VS WAMILIKI MAGARI UBER

Wakuu wanasheria naomba msaada wa ufumbuzi wa hii changamoto hasa biashara ya UBER. (magari zaidi ya 15)

Nikiwa kama mmiliki naingia mkataba wa maandishi na dereva, awe na (i)wadhamini wawili,(ii) barua serikali za mtaa, (iii)copy leseni, vyeti, picha n.k

Unakabidhi gari kazi inaanza, labda mwezi hivi unagundua yafuatayo:

1) Akipigwa traffic notification ya kosa lake hatoi taarifa na HALIPI ukimuuliza ana aahidi kulipa.

2) Malipo ya gari yana sua sua kwa visingizio vingi, kuuguliwa, kazi sio n.k analimbikiga madeni.

3) Uki kagua matunzo ya gari mabovu sn km anazotembea nyingi sana kuliko kawaida.

Muda sio mrefu aidha anasingizia ugonjwa au kufiwa humuoni tena, au ukigutuka anatoa ahadi humuoni tena.

Unapoanza follow up kwa wadhamini wake unagundua nao ni madereva wenzio matapeli ni mchezo wao wote kudhaminiana na kuendelea kutapeli watu.

Unaweza kuta anakuachia deni la notification hadi 500,000= na wewe unamdai 1.5 mln total 2mln.

Ukimwambia aandike kukiri anadaiwa wengi wanakubari na kuandika na kutoa ahadi za uongo.

Ukienda Traffic wakusaidie angalau alipe notification wanadai mwajiri anapawa ku control driver wake, na hiyo ni civil case hawawezi mkamata kwa hilo tu watakamata gari lako.

Haya process za civil case ya Tsh 2 mln nadhani ntakuwa mnaijua gharama plus muda disturbance n.k

Naomba kuwasilisha NAAHIDI ZAWADI NONO KWA ATAKAYE PATA UFUMBUZI

Aidha ni mawazo yang tu, Hawa wadaiwa kwa kupia sharia tunaweza watangaza kwenye vyombo vya habari ? mitandao ya kijamii ? n.k pengine wanaweza lipa
HABARI MKUU..... POLE SANA NA MAJANGA HAYOO. NA PIA NIMECHELEWA KUSOMA UZI WAKO...

KUSIMAMIA GARI HIZO ULIZONAZO SIO NYINGI NI KAZI NDOGO SANA KAMA UTANITUMIA VIZURI. NA BIASHARA YAKO ITAENDA VIZURI.... SANA.

1. KUHUSU HAO MADEREVA.
(UTAPELI)
Utapeli ni nini?
- Utapeli ni kitendo cha kufanya udanganyifu kwa ajili ya kujipatia kitu fulani pesa, mali, masilahi n.k.
Pia ni moja ya makosa ya jinai.

Sheria namba 273 (d) sura ya 16 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002 inatambua utapeli ni wizi wa kuaminiwa yaani unamwamini mtu alafu anakuibia.

-Adhabu yake ni kifungo cha Miaka isiyopungua mitatu (3).....

- Jambo hili la utapeli bado ni mwiba katika nchi yetu kwani adhabu hii ni ndogo sana ndio maana matapeli hawaishi nchini mwetu kwani mtu anaweza akatapeli mamilioni ya fedha baadaye akaenda jela miaka yake mitatu akarudi kuja kula maisha.

Unadhani nini kifanyike ili kukomesha tatizo lako lililopo?

1. Weka kila document kwa mfumo wa digital. Millages, fuel reciepts, insuarance cover.

2. Measure every thing that matters. Cost per mile etc.

3. Consider adoption... (Technology).....

Tuwasiliane tufanye Kazi..... Kuimarisha biashara uliyonayoo...

Utanipa Ajira ya Management ya hyo fleet niweke Mambo Sawa kila kitu utakua nacho kiganjani kwako.......

NAWASILISHA.
 
Shukran sana , naomba tuwasiliane
 
Kama ni mkweli suluhu ya mita ndiyo ufumbuzi usio na mashaka kwani zilitumika hapa Tanzania miaka ya sitini, ujanjaujanja ulipoanza madereva waliziondoa.
 
Simple!!
Wewe baki kuwa mkurugenzi tu,kisha tafuta Manager atakaye manage hizo gari zote ili awe anazifatilia gari zote kila siku kuhakikisha kila kitu kiko sawa!!!!
 
Mkuu tafuta manager, halafu funga kifaa kinaitwa fleet mgt, hicho kinakupa taarifa zote za Gari root alizopiga kwa siku kwa week, mwezi na mwaka, itasoma kilometers, Na muda wowote ukitaka kujua Gari iko wapi? Na IPO speed Gani utajua..... So inakuwa Rahisi Ku monitor, ni hayo mkui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom