Madereva tapeli baadhi VS wamiliki magari Uber

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Oct 26, 2014
115
66
ZAWADI NONO KWA ATAKAE FUMBUA TATIZO HILI.

MADEREVA TAPELI(baadhi) VS WAMILIKI MAGARI UBER

Wakuu wanasheria naomba msaada wa ufumbuzi wa hii changamoto hasa biashara ya UBER. (magari zaidi ya 15)

Nikiwa kama mmiliki naingia mkataba wa maandishi na dereva, awe na (i)wadhamini wawili,(ii) barua serikali za mtaa, (iii)copy leseni, vyeti, picha n.k

Unakabidhi gari kazi inaanza, labda mwezi hivi unagundua yafuatayo:

1) Akipigwa traffic notification ya kosa lake hatoi taarifa na HALIPI ukimuuliza ana aahidi kulipa.

2) Malipo ya gari yana sua sua kwa visingizio vingi, kuuguliwa, kazi sio n.k analimbikiga madeni.

3) Uki kagua matunzo ya gari mabovu sn km anazotembea nyingi sana kuliko kawaida.

Muda sio mrefu aidha anasingizia ugonjwa au kufiwa humuoni tena, au ukigutuka anatoa ahadi humuoni tena.

Unapoanza follow up kwa wadhamini wake unagundua nao ni madereva wenzio matapeli ni mchezo wao wote kudhaminiana na kuendelea kutapeli watu.

Unaweza kuta anakuachia deni la notification hadi 500,000= na wewe unamdai 1.5 mln total 2mln.

Ukimwambia aandike kukiri anadaiwa wengi wanakubari na kuandika na kutoa ahadi za uongo.

Ukienda Traffic wakusaidie angalau alipe notification wanadai mwajiri anapawa ku control driver wake, na hiyo ni civil case hawawezi mkamata kwa hilo tu watakamata gari lako.

Haya process za civil case ya Tsh 2 mln nadhani ntakuwa mnaijua gharama plus muda disturbance n.k

Naomba kuwasilisha NAAHIDI ZAWADI NONO KWA ATAKAYE PATA UFUMBUZI

Aidha ni mawazo yangu tu, Hawa wadaiwa kwa kupia sheria tunaweza kuwatangaza kwenye vyombo vya habari ? mitandao ya kijamii ? n.k pengine wanaweza lipa
 
Sijui utaratibu wa uba......
.

Lakini binafsi....

Kila jumapili....nataka pesa yangu............... hajaleta apaki gari mkataba umeisha....(state hili kwenye mkataba) na anapoleta pesa aje na gari nilione na kama nikiamua nilikague hata fasta fasta(ingawa sio kwanba kila junapili nakagua)

Service na matengenezo nafanya mwenyewe hivyo lazima kilometa zinapokwenda kwa spidi ya light tuzungumze na kuja na mkakati na kama gari linaharibiwa hovyo ni rahisi kujua

Tatu...kuwa na utaratibu wa kucheki kama gari lina fine kutumia mtandao wa tms tz...pia notification hazinihusu... ila fine isizidi 37500 (mwanzoni nikikuwa nalipa wakawa na dharau na majibu mabaya kwa traffic kwa kuwa hawalipi wao..... siku hizi hazinihusu)

Manotification yakizidi...asipotunza gari....asipoleta fedha ni bye bye....

Follow up ya karibu ni muhimu

Mpe gari dereva unayemjua kwa kina.... binafsi vijana wa kitaa webye akili timamu na uchungu wa maisha...wenye familia na ninaowajua angalau mzazi au mkewe ndionampa kazi....... kutoroka inakuwa ngumu

(Sorry sijakujibu kama mmiliki uba ila i hope hivi vinaweza kukusaidia wakati unawasubiri waje)
 
Mkuu hapo inabidi kati ya msaidizi wake ama dereva lazima awe mtu wako. Ili kusudi asimamie gari lako kwa karibu. Ikishindikana sana tafuta mtu atakayekaa ndani ya gari kwa ajili ya kuangalia mwenendo wa shuguli nzima. Hela sio kwa mwezi, hela alete kila siku na kwa kiwango mlichokubaliana, zikipungua usimdai zaidi ya wiki moja, zinapoisha siku saba tu ya nane mwambie apaki gari ataichukua akija na hela anayodaiwa. Pia mwambie makosa ya gari yote utalipa faini wewe, na makosa ya uzembe atalipa yeye
 
ZAWADI NONO KWA ATAKAE FUMBUA TATIZO HILI.

MADEREVA TAPELI(baadhi) VS WAMILIKI MAGARI UBER

Wakuu wanasheria naomba msaada wa ufumbuzi wa hii changamoto hasa biashara ya UBER.

Nikiwa kama mmiliki naingia mkataba wa maandishi na dereva, awe na (i)wadhamini wawili,(ii) barua serikali za mtaa, (iii)copy leseni, vyeti, picha n.k

Unakabidhi gari kazi inaanza, labda mwezi hivi unagundua yafuatayo:

1) Akipigwa traffic notification ya kosa lake hatoi taarifa na HALIPI ukimuuliza ana aahidi kulipa.

2) Malipo ya gari yana sua sua kwa visingizio vingi, kuuguliwa, kazi sio n.k analimbikiga madeni.

3) Uki kagua matunzo ya gari mabovu sn km anazotembea nyingi sana kuliko kawaida.

Muda sio mrefu aidha anasingizia ugonjwa au kufiwa humuoni tena, au ukigutuka anatoa ahadi humuoni tena.

Unapoanza follow up kwa wadhamini wake unagundua nao ni madereva wenzio matapeli ni mchezo wao wote kudhaminiana na kuendelea kutapeli watu.

Unaweza kuta anakuachia deni la notification hadi 500,000= na wewe unamdai 1.5 mln total 2mln.

Ukimwambia aandike kukiri anadaiwa wengi wanakubari na kuandika na kutoa ahadi za uongo.

Ukienda Traffic wakusaidie angalau alipe notification wanadai mwajiri anapawa ku control driver wake, na hiyo ni civil case hawawezi mkamata kwa hilo tu watakamata gari lako.

Haya process za civil case ya Tsh 2 mln nadhani ntakuwa mnaijua gharama plus muda disturbance n.k

Naomba kuwasilisha NAAHIDI ZAWADI NONO KWA ATAKAYE PATA UFUMBUZI

Aidha ni mawazo yang tu, Hawa wadaiwa kwa kupia sharia tunaweza watangaza kwenye vyombo vya habari ? mitandao ya kijamii ? n.k pengine wanaweza lipa
Mkuu nitafute hakika nitalimaliza kabisa..!
 
Sijui utaratibu wa uba......
.

Lakini binafsi....

Kila jumapili....nataka pesa yangu............... hajaleta apaki gari mkataba umeisha....(state hili kwenye mkataba) na anapoleta pesa aje na gari nilione na kama nikiamua nilikague hata fasta fasta(ingawa sio kwanba kila junapili nakagua)

Service na matengenezo nafanya mwenyewe hivyo lazima kilometa zinapokwenda kwa spidi ya light tuzungumze na kuja na mkakati na kama gari linaharibiwa hovyo ni rahisi kujua

Tatu...kuwa na utaratibu wa kucheki kama gari lina fine kutumia mtandao wa tms tz...pia notification hazinihusu... ila fine isizidi 37500 (mwanzoni nikikuwa nalipa wakawa na dharau na majibu mabaya kwa traffic kwa kuwa hawalipi wao..... siku hizi hazinihusu)

Manotification yakizidi...asipotunza gari....asipoleta fedha ni bye bye....

Follow up ya karibu ni muhimu

Mpe gari dereva unayemjua kwa kina.... binafsi vijana wa kitaa webye akili timamu na uchungu wa maisha...wenye familia na ninaowajua angalau mzazi au mkewe ndionampa kazi....... kutoroka inakuwa ngumu

(Sorry sijakujibu kama mmiliki uba ila i hope hivi vinaweza kukusaidia wakati unawasubiri waje)
Shukran sana ni ushauri mzuri sana hasa kwa gari chache tu , kwa gari zaidi ya kumi ni ngumu sana au gari 20 za UBER hilo haitawezekana, naomba kama lipo wazo la kuongezea kwa mazingira hayo
 
Mkuu hapo inabidi kati ya msaidizi wake ama dereva lazima awe mtu wako. Ili kusudi asimamie gari lako kwa karibu. Ikishindikana sana tafuta mtu atakayekaa ndani ya gari kwa ajili ya kuangalia mwenendo wa shuguli nzima. Hela sio kwa mwezi, hela alete kila siku na kwa kiwango mlichokubaliana, zikipungua usimdai zaidi ya wiki moja, zinapoisha siku saba tu ya nane mwambie apaki gari ataichukua akija na hela anayodaiwa. Pia mwambie makosa ya gari yote utalipa faini wewe, na makosa ya uzembe atalipa yeye
Shukran sana gari ni ndogo yaani TAXI za UBER na ni nyingi zaidi ya 10
 
Ubber nafikiri inatrack transactions zote hiyo ni rahisi kumanage. Kuwa nanaccess na account yako. Pia mchaj kwa kilomita. Yaan gari yako kila ikitembea kilomita kadhaa lazima akuletee pesa kiasi flani. Tena lazima awe anaandika kila anapofanya safari, mfano naondoka magomeni saa flani kuelekea kariakoo arekodi km alizoanza nazo safari, na akifika aandike pia amefika na km kadhaa basi wewe jioni soma km. Na asubuhi soma km. Difference mwambie nakuchaj th.10007 7kwa km. Kama ametembea 100km ?maana yake akuoe laki moja.
 
kama una gari nyingi na unajua uko busy sana na shughuli nyingine,ajiri manager wa kusimamia gari zako,anakua siku nzima ndo kazi yake kukusanya,kuangalia hali za magari ,ikiwezekana pia anakua ndani ya gari pemben muda na muda,akiwa ndugu yako au mtu unayemjua vizuri na kumuamini itapendeza
 
Ubber nafikiri inatrack transactions zote hiyo ni rahisi kumanage. Kuwa nanaccess na account yako. Pia mchaj kwa kilomita. Yaan gari yako kila ikitembea kilomita kadhaa lazima akuletee pesa kiasi flani. Tena lazima awe anaandika kila anapofanya safari, mfano naondoka magomeni saa flani kuelekea kariakoo arekodi km alizoanza nazo safari, na akifika aandike pia amefika na km kadhaa basi wewe jioni soma km. Na asubuhi soma km. Difference mwambie nakuchaj th.10007 7kwa km. Kama ametembea 100km ?maana yake akuoe laki moja.
ila ukumbuke km kubadili kuweka fake inabadilishika tu ,anaweza chonga mchongo na wataalamu wakubadil mwenye gari ukaumia tu
 
We gari yako si unakagua kila siku mkuu. Ukikuta kaweka feki segerea inamhusu, ina short haruhusiwi kupeleka gari kwa fundi isipokuwa pancha tu. Likiharibika popote akujulishe, ama uwe na fundi mmoja unayemwamini anapeleka hapo
 
ZAWADI NONO KWA ATAKAE FUMBUA TATIZO HILI.

MADEREVA TAPELI(baadhi) VS WAMILIKI MAGARI UBER

Wakuu wanasheria naomba msaada wa ufumbuzi wa hii changamoto hasa biashara ya UBER. (magari zaidi ya 15)

Nikiwa kama mmiliki naingia mkataba wa maandishi na dereva, awe na (i)wadhamini wawili,(ii) barua serikali za mtaa, (iii)copy leseni, vyeti, picha n.k

Unakabidhi gari kazi inaanza, labda mwezi hivi unagundua yafuatayo:

1) Akipigwa traffic notification ya kosa lake hatoi taarifa na HALIPI ukimuuliza ana aahidi kulipa.

2) Malipo ya gari yana sua sua kwa visingizio vingi, kuuguliwa, kazi sio n.k analimbikiga madeni.

3) Uki kagua matunzo ya gari mabovu sn km anazotembea nyingi sana kuliko kawaida.

Muda sio mrefu aidha anasingizia ugonjwa au kufiwa humuoni tena, au ukigutuka anatoa ahadi humuoni tena.

Unapoanza follow up kwa wadhamini wake unagundua nao ni madereva wenzio matapeli ni mchezo wao wote kudhaminiana na kuendelea kutapeli watu.

Unaweza kuta anakuachia deni la notification hadi 500,000= na wewe unamdai 1.5 mln total 2mln.

Ukimwambia aandike kukiri anadaiwa wengi wanakubari na kuandika na kutoa ahadi za uongo.

Ukienda Traffic wakusaidie angalau alipe notification wanadai mwajiri anapawa ku control driver wake, na hiyo ni civil case hawawezi mkamata kwa hilo tu watakamata gari lako.

Haya process za civil case ya Tsh 2 mln nadhani ntakuwa mnaijua gharama plus muda disturbance n.k

Naomba kuwasilisha NAAHIDI ZAWADI NONO KWA ATAKAYE PATA UFUMBUZI

Aidha ni mawazo yang tu, Hawa wadaiwa kwa kupia sharia tunaweza watangaza kwenye vyombo vya habari ? mitandao ya kijamii ? n.k pengine wanaweza lipa
Inabidi dereva alete mdhamini ambae atakuwa tayar kulipa deni au hasara itakayosababishwa na dereva,pia unaweza kuamua alete wadhamini walioajiriwa ili iwe rahisi kuwafuata,wadhamini walete vitambulisho vyao nk lakini, biashara yoyote inahitaji usimamizi wa hali ya juu kuna mahali lazima ukubali ulizembea hukufuatilia vizur biashara yako ndio maana imekuwa rahisi sana kusababisha hasara
 
Kwa kuongezea hapo tengeneza mikataba minuto sana itakayombana mdhamini amfuatilie dereva wako atakaposababisha hasara Ikiwezekana ufahamu hata sehenu wanazoishi wadhamini,akikuletea taarifa zake lazima ufuatilie kwa Siri kama ni ZA kweli.
Mchakato wa kuajiri mtu sio kitu cha dk 5 jamani lazima ujiridhishe kwanza ña taarifa alizoleta ndio umpe kazi.gari zako umetumia pesa kununua lazima uzijali uhakikishe unapata mtu sahihi wa kumpa,pia usiwe mbahili kulipa consultants kupata ushaur kidogo kuhusiana ña biashara kama una gari 15 hyo tayar ni kampuni kubwa sometimes You need consultants to advice you
 
Kwa kuongezea hapo tengeneza mikataba minuto sana itakayombana mdhamini amfuatilie dereva wako atakaposababisha hasara Ikiwezekana ufahamu hata sehenu wanazoishi wadhamini,akikuletea taarifa zake lazima ufuatilie kwa Siri kama ni ZA kweli.
Mchakato wa kuajiri mtu sio kitu cha dk 5 jamani lazima ujiridhishe kwanza ña taarifa alizoleta ndio umpe kazi.gari zako umetumia pesa kununua lazima uzijali uhakikishe unapata mtu sahihi wa kumpa,pia usiwe mbahili kulipa consultants kupata ushaur kidogo kuhusiana ña biashara kama una gari 15 hyo tayar ni kampuni kubwa sometimes You need consultants to advice you
 
Kwa kuongezea hapo tengeneza mikataba minuto sana itakayombana mdhamini amfuatilie dereva wako atakaposababisha hasara Ikiwezekana ufahamu hata sehenu wanazoishi wadhamini,akikuletea taarifa zake lazima ufuatilie kwa Siri kama ni ZA kweli.
Mchakato wa kuajiri mtu sio kitu cha dk 5 jamani lazima ujiridhishe kwanza ña taarifa alizoleta ndio umpe kazi.gari zako umetumia pesa kununua lazima uzijali uhakikishe unapata mtu sahihi wa kumpa,pia usiwe mbahili kulipa consultants kupata ushaur kidogo kuhusiana ña biashara kama una gari 15 hyo tayar ni kampuni kubwa sometimes You need consultants to advice you
 
Kwa kuongezea hapo tengeneza mikataba minuto sana itakayombana mdhamini amfuatilie dereva wako atakaposababisha hasara Ikiwezekana ufahamu hata sehenu wanazoishi wadhamini,akikuletea taarifa zake lazima ufuatilie kwa Siri kama ni ZA kweli.
Mchakato wa kuajiri mtu sio kitu cha dk 5 jamani lazima ujiridhishe kwanza ña taarifa alizoleta ndio umpe kazi.gari zako umetumia pesa kununua lazima uzijali uhakikishe unapata mtu sahihi wa kumpa,pia usiwe mbahili kulipa consultants kupata ushaur kidogo kuhusiana ña biashara kama una gari 15 hyo tayar ni kampuni kubwa sometimes You need consultants to advice you
 
We gari yako si unakagua kila siku mkuu. Ukikuta kaweka feki segerea inamhusu, ina short haruhusiwi kupeleka gari kwa fundi isipokuwa pancha tu. Likiharibika popote akujulishe, ama uwe na fundi mmoja unayemwamini anapeleka hapo
Mkuu kwa kweli magari ya uber hayana ratiba maalum ya kazi, wapo wanaolala mchana na kukesha usk, wapo wa masaa usiku kuanzia saa6 hadi asb , pia unaweza kufatilia gari chache sio kuanzia 15 , kwanza ukiziita zote kila siku utapata changamoto ya parking, pia wametapakaa jiji zima karibia 30km radius pana gharama ya mafuta n.k
 
Kwa kuongezea hapo tengeneza mikataba minuto sana itakayombana mdhamini amfuatilie dereva wako atakaposababisha hasara Ikiwezekana ufahamu hata sehenu wanazoishi wadhamini,akikuletea taarifa zake lazima ufuatilie kwa Siri kama ni ZA kweli.
Mchakato wa kuajiri mtu sio kitu cha dk 5 jamani lazima ujiridhishe kwanza ña taarifa alizoleta ndio umpe kazi.gari zako umetumia pesa kununua lazima uzijali uhakikishe unapata mtu sahihi wa kumpa,pia usiwe mbahili kulipa consultants kupata ushaur kidogo kuhusiana ña biashara kama una gari 15 hyo tayar ni kampuni kubwa sometimes You need consultants to advice you
Shukran sana right kama soko la ajira la madereva lingekuwa na supply kuzidi demand au wapo wengi sana wanaotafuta ajira hiyo tungeweza ku control vema sana yaani ingebidi dereva kufuata/kutekeleza masharti yoote ndio apate AJIRA, Tatizo lililopo hawa madereva ambao ni registered UBER bado ni haba wakati woote unakuta magari yapo yame park hakuna dereva yanasubili, hilo ndio chanzo kikubwa cha kutapeliwa.
 
ZAWADI NONO KWA ATAKAE FUMBUA TATIZO HILI.

MADEREVA TAPELI(baadhi) VS WAMILIKI MAGARI UBER

Wakuu wanasheria naomba msaada wa ufumbuzi wa hii changamoto hasa biashara ya UBER. (magari zaidi ya 15)

Nikiwa kama mmiliki naingia mkataba wa maandishi na dereva, awe na (i)wadhamini wawili,(ii) barua serikali za mtaa, (iii)copy leseni, vyeti, picha n.k

Unakabidhi gari kazi inaanza, labda mwezi hivi unagundua yafuatayo:

1) Akipigwa traffic notification ya kosa lake hatoi taarifa na HALIPI ukimuuliza ana aahidi kulipa.

2) Malipo ya gari yana sua sua kwa visingizio vingi, kuuguliwa, kazi sio n.k analimbikiga madeni.

3) Uki kagua matunzo ya gari mabovu sn km anazotembea nyingi sana kuliko kawaida.

Muda sio mrefu aidha anasingizia ugonjwa au kufiwa humuoni tena, au ukigutuka anatoa ahadi humuoni tena.

Unapoanza follow up kwa wadhamini wake unagundua nao ni madereva wenzio matapeli ni mchezo wao wote kudhaminiana na kuendelea kutapeli watu.

Unaweza kuta anakuachia deni la notification hadi 500,000= na wewe unamdai 1.5 mln total 2mln.

Ukimwambia aandike kukiri anadaiwa wengi wanakubari na kuandika na kutoa ahadi za uongo.

Ukienda Traffic wakusaidie angalau alipe notification wanadai mwajiri anapawa ku control driver wake, na hiyo ni civil case hawawezi mkamata kwa hilo tu watakamata gari lako.

Haya process za civil case ya Tsh 2 mln nadhani ntakuwa mnaijua gharama plus muda disturbance n.k

Naomba kuwasilisha NAAHIDI ZAWADI NONO KWA ATAKAYE PATA UFUMBUZI

Aidha ni mawazo yang tu, Hawa wadaiwa kwa kupia sharia tunaweza watangaza kwenye vyombo vya habari ? mitandao ya kijamii ? n.k pengine wanaweza lipa
Hili ni tatizo dogo sana ila elimu ndogo na ujanja mwingine huleta umasikini. Ufumbuzi wa tatizo hili ni....... nilipe kwanza nitakuambia ila naona nawe utanirusha kama hao madereva.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom