Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,982
Naunga mkono hoja.Dereva(haswa daladala) anashinda anasikiliza redio toka saa11 alfajir anasikiliza toka amka na bbc,habari zote mpaka saa6 usiku labda ndo anafunga ofisi.Wanakua nondo sana ktk current affairs
Kama dereva anaongea mwanzo bado mwisho wa safari, hapo nitakuwa na amani. Ila awepo mtu mwingine wa kumsikiliza, mimi nitalala.Aisee hawa jamaa wanaongea sana. Yaani kila stori utakayoianzisha yumo!!,
Michezo, wamo! Yaani wanaweza kukuambia kwanini timu za kundi moja zimekutana fainali na nyingine ya kundi hilo imeshika mkia.
Siasa, wamo! Mpaka lile sakata la juzi wanalifahamu A - Z
Udaku na ndagu za matajiri, wamo!, yaani vyanzo vya matajiri wa nchi hii wanazo.
Kuna jamaa alinambia, dereva anaweza kukupigisha stori mpaka mwisho wa safari na asichoke. Yaani ni wanaongea na stori zinavutia, sasa sijui taarifa huwa mnazitoa wapi ila again zeni energy nitalipa.
Bora madereva, wavuvi ni kiboko waongo mno.Aisee hawa jamaa wanaongea sana. Yaani kila stori utakayoianzisha yumo!!,
Michezo, wamo! Yaani wanaweza kukuambia kwanini timu za kundi moja zimekutana fainali na nyingine ya kundi hilo imeshika mkia.
Siasa, wamo! Mpaka lile sakata la juzi wanalifahamu A - Z
Udaku na ndagu za matajiri, wamo!, yaani vyanzo vya matajiri wa nchi hii wanazo.
Kuna jamaa alinambia, dereva anaweza kukupigisha stori mpaka mwisho wa safari na asichoke. Yaani ni wanaongea na stori zinavutia, sasa sijui taarifa huwa mnazitoa wapi ila again zeni energy nitalipa.
Hahahahahaaaa, sasa ukute mvuvi ni babu flani hivi, weee wanafix balaa.Bora madereva, wavuvi ni kiboko waongo mno.