Madereva hapa ku overtake ni salama?

Madereva hapa ku overtake ni salama?

Mpk hapo ni shida mzee Mstari wenyewe unakata overtake alaku hiyo road ina km kona
 
Unaruhusiwa ku-overtake kwa umakini mkubwa sana baada ya kujiridhisha kutokuwa na kiatarishi chochote cha ajali. Ila kama kuna mistari miwili iliyonyooka, piga uwa usi-overtake.
 
Mstari umekukataza kuovertake ila kama una hela za kugawa kwa trafiki overtake ila uwe mwangalifu
 
Usi ovateki kama haujachelewa uendako, kuwa nyuma ya chombo kingine si udhaifu.
 
Tanzania nchi yangu inakwenda wapi??? Wewe ni dereva au unandoto za kua dereva? naomba tuanze hapo mkuu..
 
Back
Top Bottom