wote hawa hawafai ukiwaona na mkweo basi ujue unasaidiwaSometimes wanaume tuna paranoia tu...mara madereva tax..mara waosha miguu
it has nothing to do with paranoia but to do with FREE RISKING SERVICES
Dada wa kazi alituaga eti anaenda kumwona mama yake ni mgonjwa harudi tena, kumbe kaolewa na Boda boda wa mtaani.