Madereva 3 wa bodaboda wanahitajika

Madereva 3 wa bodaboda wanahitajika

Kama safi safi ila ikiibiwa ndio bas tena chet kushnei
IMG-20181107-WA0004.jpeg
 
Hii sasa kali aisee
Habari wakuu.

Ninapiki piki tatu, nahitaji vijana watatu waadilifu wa kuziendesha. Boxer per day 8000/=, haugue per day 7000/=
Dereve anapaswa awe mkazi wa Dar.

Dereve unapaswa ulete kila siku hesabu na ukirusha siku mbili mfululizo utanyang'anywa pikipiki.

Dereva utaacha cheti chako cha kidato cha nne/sita kama mdhamini wako upewapo pikipiki.
Maana yake kama huna cheti usijihangaishe kuomba.

Kama upo tayari njoo Pm.
 
Back
Top Bottom