So boxa inakua yangu baada ya muda gani?Mkataba
Imebaki ipi?Boxer ilipata watu jana Mkuu
Kama hicho cheti kinathami si akitafutie kazi nyingine...cheti kinathamani kimekosa kazi?Utakuwa na matatizo ya akili wewe,, yaani mtu akuachie cheti chake teba bora ungesema copy, ila org!! Kwa ajili ya kimkweche chako!? Unajua thamani ya cheti kweli wewe, yaani amekipata baada ya kukisotea miaka kumi naa then akuletee ufanyie ubwisi kwa kujibodaboda!! Kapime tezi Dume!!
Miezi mingapi mkataba?au ni sh ngapi?Haugue Mkuu
Kama hicho cheti kinathami si akitafutie kazi nyingine...cheti kinathamani kimekosa kazi?
We unataka dhamana yako iwe niniChet tena
NyumbaWe unataka dhamana yako iwe nini
Sasa kama unadhamana ya nyumba boss si uiweke ili ununue bodaboda zakoNyumba
Kwani Mimi nimesema nataka kuendesha boda boda mkuu umeninot wapi mkuu kuwa mpoleSasa kama unadhamana ya nyumba boss si uiweke ili ununue bodaboda zako
Basi mkuu samahani...nilipouliza unadhamana ya nini ukajibu nikajua uko interestedKwani Mimi nimesema nataka kuendesha boda boda mkuu umeninot wapi mkuu kuwa mpole
Mkuu wengine kombi hazikubalance istoshe zpo dhamana nyingine kama hati za viwanja,nyumba ikikupendeza tuwasilianeKwa nini ushindwe kuweka cheti ilhali utamaliza deni lako