Madereva 3 wa bodaboda wanahitajika

Madereva 3 wa bodaboda wanahitajika

Mkuu wengine kombi hazikubalance istoshe zpo dhamana nyingine kama hati za viwanja,nyumba ikikupendeza tuwasiliane

Sasa Tangazo si linajieleza vzuri mkuu. Kama ungelielewa ungekuja Pm
 
Pamoja na kulielewa bado nilishndwa kuja coz sikuwa na kigezo hicho cha cheti sasa kama unapokea na hati ndio tukubaliane na nianze kwa kukupa cash laki sita badala ya kusubili elfu kumi kila siku.
 
Pamoja na kulielewa bado nilishndwa kuja coz sikuwa na kigezo hicho cha cheti sasa kama unapokea na hati ndio tukubaliane na nianze kwa kukupa cash laki sita badala ya kusubili elfu kumi kila siku.

Hati ya nini Mkuu?
 
Kama unaenda chanika kupitia mbagala mbande na kimejengwa tayari alafu mkuu kama hujui me si bodaboda ila ni mjasiriamali mdogo mdogo ivyo nilitaka nitumie katika shughuli zangu uwezo wa kukupa hata elfu ishirini kwa siku ninao ila ntakuwa nakupa kwa ujumla.
 
Sawa Mkuu. Yote ni sawa Njoo Pm
 
Kila kitu kipo kisheria wewe njoo huku. Upewe utaratibu. Hayo maswali utayaulizia huku.

watakuja.. watakuachia cheti.. halafu watakuibia piki piki.. kwa kupanga na wezi.. na bado cheti chao utawapa.. hujui sheria za nchi vizuri..

unachofanya ni sawa na mtu anaekopesha kwa riba.. huku sio bank
 
Habari wakuu.

Ninapiki piki tatu, nahitaji vijana watatu waadilifu wa kuziendesha. Boxer per day 8000/=, haugue per day 7000/=
Dereve anapaswa awe mkazi wa Dar.

Dereve unapaswa ulete kila siku hesabu na ukirusha siku mbili mfululizo utanyang'anywa pikipiki.

Dereva utaacha cheti chako cha kidato cha nne/sita kama mdhamini wako upewapo pikipiki.
Maana yake kama huna cheti usijihangaishe kuomba.

Kama upo tayari njoo Pm.
Wanawake tunaruhusiwa ku-apply?
Au ni vidume tu?
 
Cheti ni non transferred, kimebeba mamilioni ya hela afu mtu akuachie kizembe kisa unampa bodaboda.
Utakuwa una mchongo wa vyeti unataka kuwaingiza wana king kisa bodaboda.
Oya wadaueee STUKAAAAAAAAAA!
 
Duu ila ningekushauri iwape mkataba wa miezi 10 then bike inakuwa yake la sivyo chombo kitaachakaa na pesa hutaiona

Wish u all the best karibu moshi December hii tule mbege
 
Habari wakuu.

Ninapiki piki tatu, nahitaji vijana watatu waadilifu wa kuziendesha. Boxer per day 8000/=, haugue per day 7000/=
Dereve anapaswa awe mkazi wa Dar.

Dereve unapaswa ulete kila siku hesabu na ukirusha siku mbili mfululizo utanyang'anywa pikipiki.

Dereva utaacha cheti chako cha kidato cha nne/sita kama mdhamini wako upewapo pikipiki.
Maana yake kama huna cheti usijihangaishe kuomba.

Kama upo tayari njoo Pm.
Watakuachia cheti wasepe na pikipiki
 
Fikiria mtu humjui, unawezaje kumkabidhi chombo bila mdhamini. Hivyo cheti ni dhamana kwani mtu hataweza kukubali kupoteza cheti kisa boda boda
Kama ni cheti cha division four mtu si analala mbele tu na pikipiki, anakuachia cheti
 
Back
Top Bottom