Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Wamelipwa atakuwa anakudanganya, kuna jamaa nilikuwa namdai parefu kidogo kanilipa baada ya yeye kulipwa last week.Jamani naulizia wale watumishi wa umma watalipwa madeni yao? Maana Kuna mtumishi wa umma namdai hela nyingi,ananiambia Nisubirie watalipwa madeni yao,wanaojua wanijuze ni kweli?