Yaani hapo ndio balaa mke wangu yuko Shinyanga kila siku naomba tangazo litoke, asiye jua thamani ya mke wala hajali.Uhamisho kwanza madeni wakáe nayo tu
Watumishi hawajalipwa izo ni siasa t.Mbona walishalipwa zamani? Serikali haidaiwi na mtumishi yeyote, ndio maana hata nyongeza yao ya mwaka hakuna. Msamehe bure.
Nimewambia watu tutumie social media twende kwenye twitter account inster gram na zinginezo za hawa watu, tuulize tu mwanzo mwishoYaani hapo ndio balaa mke wangu yuko Shinyanga kila siku naomba tangazo litoke, asiye jua thamani ya mke wala hajali.
Sijasikia hata mbunge mmoja kuuliza kuhusu uhamisho, hatma yake ni nini? Na wala hakuna jibu/taarifa yoyote kuhusu swala hilo. Ptuuuu....Nimewambia watu tutumie social media twende kwenye twitter account inster gram na zinginezo za hawa watu, tuulize tu mwanzo mwisho
Usitegemee wanasiasaSijasikia hata mbunge mmoja kuuliza kuhusu uhamisho, hatma yake ni nini? Na wala hakuna jibu/taarifa yoyote kuhusu swala hilo. Ptuuuu....
Nini cha kufanya?Usitegemee wanasiasa
Kuwauliza direct wahusika,Nini cha kufanya?
Umenigusa nduguYaani hapo ndio balaa mke wangu yuko Shinyanga kila siku naomba tangazo litoke, asiye jua thamani ya mke wala hajali.