Madeni ya PSPF dhidi ya serikali yamelipwa?

Madeni ya PSPF dhidi ya serikali yamelipwa?

koryo

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
639
Reaction score
278
Ninaomba kufahamu kuwa yale madeni yanayodaiwa Serikali na PSPF yamekwishalipwa?. Mhe. Rais aliahidi kuyalipa kabla hajatoka ofisini. Tunaomba kufahamishwa ili sisi tunaodai tuanze kufuatilia malipo yetu.
 
Duh mimi karibuni nitastaafu sijui PSPF watanilipa mapema nimelitumikia taifa hili miaka 36 sasa kama hela zetu tulizokuwa tunakatwa kuchangia mfuko serikali imezikopa tutakuwa wageni wa nani ndiyo maana wafanyakazi wengine huamua kuchukua chao mapema kwa kuiibia serikali
 
Back
Top Bottom