Madenge alivyoitikisa Tanzania

Daaah, Bawji alikuwa msimuliziwa wa riwaya, umenikumbusga kifo cha Kaduma.

Hadithi ya kina mzee meko na seba nani alikuwa mchoraji. Kitambo aiseh
 
Kulikuwa na Betina na nani?!..
 
Kipepe hakuwahi kufanikiwa mpaka hizi stori zinakufa
Pimbi naye mikosi na mademu
Madenge ndo chanzo cha mabaharia
Ilikua noma sana
 
Umetisha kiongozi
 
Kuna jamaa hapa kita mpaka Leo tunamuita ufudu toka utoto na sasa Ana familia
Kiboko ya yote ilikua vitabu vya panga la shaba...mzee uchawi wake ulikua kuiba wake za watu,kula nyama za watu na kupaa na ungo....mtoto wake ufudu alikua anachezea mifupa ya binadamu ndio midoli
 
Ahsante kwa kuweka kumbukumbu sawa
Kama sijasahau aliyeanza kuchora katuni za Madenge, Lodi Lofa, Ndumilakuwili na Pimbi alikuwa ni Philip Ndunguru. Baada ya kufariki ndipo John Kaduma na Chris Katembo wakaendeleza katuni hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…