Mademu wembamba mtanisamehe..!

Mademu wembamba mtanisamehe..!

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Kusema ukweli Asee binafsi sinaga mudi na mademu wembamba ata kidogo kunako 6 kwa 6.

Maana juzi kati hapo mzee niliopoa kademu flani hivi ni kasister du ukimwangalia kamejimodoa kenyewe basi mtoto wa kiume nikawa najisemea mwenyewe tu mzee siku akinipa game basi nitakaua .

Aaah basi ile kiarakati flani demu si akaingia kingi nikaingia nae geto, demu ile kuvua nguo asee ni tuvipaja vidonchoo na ile kugeuka nyuma nikajua labda nitakuta ata vinundu kwa mbali aaah wapi ni vimakalio flat asee yamebaki ya kukalia tu.

Basi mtoto wa kiume mudi yote ilikata nikaona nisimwache hivi hivi asije kuniona choko nikajipigia zangu viwili kwa tabu na tabasamu la kupretend ila sikuinjoi show wala nini.

Nyuma ya show nikawa namuazia demu wangu flani hivi aliyejaliwa wowowo lake mashalah la kuvunja chaga basi Nikawa Navuta hisia kama ndio napita nae yeye ili niweze kugain momentum.

Nilipata tabu sana kuanzia mwanzo wa show mpka mwisho wake kuna wakati nikawa naona kama najilazimisha flani hivi ila mawazo ya kiume nayo yakawa yanakuja nipige tu show japo kiroho upande .

Aseee kuanzia leo mi wangu ni wale wenye wowowo japo ata kama ukiwa nalo la wastani siyo mbaya lakini ukiwa flat kabisa utanisamehee siwezi kuwa na hisia nawe kunako 6 kwa 6 naweza kufanya tu kwa sababu ya genye lakini siyo kwa kuinjoi .

1b4fb3229e5a7b61a672e334e4a077f9.jpg

Nb: Sura ata Mbuzi anayo si tunatizama Wowowo...!

.........!
 
Aah kwangu halina kazi
Unajua kwenye dini tunakatazwa kutompatiliza mwenetu jambo ambalo sisi hatulitaki litupate! Kadhalika usitake mwenzako awe na kitu ambacho wewe hukujaaliwa...wee sema tukuombee tu uote kanundu kama huna kazi nako kuna watu wanatumia!
 
Vipi we utakuwa ni muhanga tu kuna vitu anatakiwa awe navyo mtu flan na sio wote kama makalio makubwa na matiti ni kwa girls ila dushe kubwa ni kwa boys

Vipi we utakuwa ni muhanga tu kuna vitu anatakiwa awe navyo mtu flan na sio wote kama makalio makubwa na matiti ni kwa girls ila dushe kubwa ni kwa boys

Vipi dushe kubwa kwani ya kuulia nyoka? Fanya kutafuta hela hata kama una kibamia kinachopwaya uone kama hutaambiwa baby taratibu naumia! Tako ni vinegar tu ila zoezi ni lile lile!
 
Vipi dushe kubwa kwani ya kuulia nyoka? Fanya kutafuta hela hata kama una kibamia kinachopwaya uone kama hutaambiwa baby taratibu naumia! Tako ni vinegar tu ila zoezi ni lile lile!
ila mademu wembamba ile slim kabisa mtanisamehe ni bora huwe ata na kishundu kwa mbali
 
Wembamba watamu asikuambie mtu yani unajipigia kwa style yeyote coz wapo flexible. Mwembamba yeyote aje PM plz.
.
Lakini siyo mwembamba kabisa atackijikalio cha kushika hakuna kunawembamba ambao wana vishundu vimetokezea kidogo hao ndio watamu aseee ila sio slim kabisa
 
Sawa....sidhani ikiwa ni sahihi hivi ulivyoandika
 
ila mademu wembamba ile slim kabisa mtanisamehe ni bora huwe ata na kishundu kwa mbali
Siawahi kusikia miss dunia aliyefunga trailler nyuma na ndo maana wanashinda, hayo mavitu vitu ni mkusanyiko tu wa protein kwa ajili ya kuzubaisha macho kufanya kazi nyingine!
 
Back
Top Bottom