Kiburugwa Inn mkuuToa codes zinazoeleweka ramani isomeke vizuri. Mbagala area code ipi? Kisuma bar, dar live? Tunaweza kujoin ulipo maana mtoto wa kkiume unaingiwa woga kizembe zembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuta wanafakamia dompo kinamna hiyo, ingekuwaje?
Kiburugwa inn bado ipo? Hapo maeneo ya kiburugwa kitambo Sana asee.
Bado ipo mkuu na inakesha, njoo ukutane na vichwa vya Safari LagerKiburugwa inn bado ipo? Hapo maeneo ya kiburugwa kitambo Sana asee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaijua Safari?Sasa kinachokushangaza nini? Kwani zimeandikwa kwa ajili ya wanaume tu?
Aisee mkuu mbona safari ni pombe laini. Ungekuta wanakata K-vant au bomberdier kama hawana akili nzuri si ungekimbia?Aisee nipo Mbagala huku, mamanzi wanakamua Safari Lager kama maji. Naogopa hata kuopoa hapa aiseee.... Hawa wanaeza kukuua kitandani kabisa. Me nakunywa Senge nyeusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wanapiga Konyagi?????Tuko hapa Terminal Pub Msamvu, mji kasoro bahari aisee bata la kufa mtu!! Waluguru Music Band Wanafanya kufuru... Mademu wakariii wanakula Serengeti light, Savana lakini wa konyagi pia wapo [emoji1635][emoji1635][emoji324][emoji324][emoji322][emoji322][emoji323][emoji323]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari ni Lite mkuu???Aisee mkuu mbona safari ni pombe laini. Ungekuta wanakata K-vant au bomberdier kama hawana akili nzuri si ungekimbia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment ya kiume na kibabe, juu ndo udume sasa ,et badala kifurahie kinalalamikaToa codes zinazoeleweka ramani isomeke vizuri. Mbagala area code ipi? Kisuma bar, dar live? Tunaweza kujoin ulipo maana mtoto wa kkiume unaingiwa woga kizembe zembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapoo wanafanya yao hapa.... Wakizidiwa wanawahi kongoro na supu ya mkia... Aisee yaani huwezi amini kwamba kuna ukata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji485][emoji485][emoji481][emoji481]