Mademu walokole wanaringa sana!

Habari za we na huyo jamaa yako hazinihusu! nmekuuliza kuhusu hao mabinti wote 18+ wasukuma wenye watoto uliowaongelea hapo ulifanyia hiyo tafiti mtaa upi? Ukiwa unashiriki mijadala halafu hutaki kuguswa na sukari inakupanda haraka unashangaza!
Wawa
 
Mi Kuna mmoja alininyima ,kikatili hadi nilitaka kumpiga.
Alihisi mi labda ni muhuni,wakati kweli nilitaka kuoa
 
Wanaringia nini..mbona wabaya TU. Ungejua wanawake wazuri ungejua hao tiger in sheep's cloth ain't gat nothing on muslima... We call our our selves beauty with brains... Yaani tumebarikiwa na nusi
 
Ungekaza ungempata. Ni wasiri mno na hawataki mwanaume asiyejiamini. Kunae mmoja miaka yangu ya ujana niliwahi kuwa naye , na wanapenda sana kuwekelewa lakini kwa siri kubwa na kwa kujificha wasijulikane na jamii

Aisee... Tena makahaba vibaya mno
 

Makufar...watueleze zile kilele wanazopiga usiku ni nini...kama sio kuijiuza ...
 
Mbona povu sana ? Jamii nyingi za kiisalm mabinti zao hawana maadili , pia kichwani amna shule akimaliza la 7 anawaza kuolewa, na wazazi wanawaza mahari ! Reference pwani, tanga, moro, Lindi, mtwara n.k !! Znz ndio wanafirwa sana

Mimi muisilamu na degree mbili Bikra na Miata 37... Sema hatuna maadili...peleka rubbish zako za kibamia huko kwa waamini shetani. Kuna mlokele na mbao...wote wapigwq miti
 
Pengine hata asingekuwa mlokole angekukataa mwanamke kama kipepeo atatua kwenye ua analopenda

Kama hata mlokole kamkataaa...anasura mbaya, Hana pesa pia Hana nguvu za kiume...mlokole zoa zoa hakatai...ana taka taka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…