atakuwa form iii; ila anakimbilia mambo ya wakubwa. Mwanangu yuko form iii lakini maongezi yake si ya hivi. Yeye ataongelea mechi za ulaya, ataongelea likizo amtembelee nani, ataongelea mambo ya kwaya yao kanisani,
au huyu alianza shule akiwa na miaka 15 hivyo form iii tayari limeishakuwa libaba.
Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
@Great Thinkers mnaniangusha sasa,mjibuni kulingana na uwezo alionao mtoa muda na sio zaidi ya hapo mtamchanganya!msije mkaonekana kama yeye mwisho wa siku,Thank you!