Kangambili 90
Member
- Aug 12, 2016
- 10
- 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww ulitaka umpe debe la mahindi?
Hahaaha... Yani nimelifikiria debe la mahindi lilivyo..nimechekaWw ulitaka umpe debe la mahindi?
Wanywe pombe zako ,wale na asbh bado wadai hela huu ni hujumu uchumiWw ulitaka umpe debe la mahindi?
Ww ulitaka umpe debe la mahindi?
Mie nikajua labda amekataa kukupa nyapu kumbe unamshangaa anataka helaMademu wa nightclub tunashindwa kuwaelewa mnajiuza au,maana unakuta mtoto mzur unamnulilia bia ukijua umeopoa ukienda kuduu nae asbh anataka hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisaShida wewe ni mjinga mimi hunywa bia zangu nikimaliza ndo naenda kula kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe kumbe unaelewa formation ilivyo hiyo kwenye mpira tunaita aongeze kipindi cha kwanza na cha pili.Sasa mwanamke ambae unakutana nae usiku huohuo unamchukua unaenda kuduu nae halafu baada ya hapo kila mtu anashika njia yake unategemea asiwe anajiuza
Sent using Jamii Forums mobile app