ujinga wa akili isiyo na ufahamu ni kuruhusu mambo mabaya yaliyopita yaendeshe yale yajayo huku ukitarajia yawe mazuri, hivi hizi mambo za ukabila zatoka wapi?..na wale wengi utaowakuta wakilalama juu ya uchaga ni wale ambao hajawahi ONJA maisha ya mahusiano na wanawake wa kichaga au waliishia kupigwa vibuti na kuishia kusema "SIZITAKI MBICHI HIZI"..ni ukweli usiopingika sehemu kubwa ya wanawake wa kichaga ni WAREMBO na wamefunzwa au wanaishi maisha ya kisasa na zaidi wameelimika, na itakulazimu tu uwe class fulani hivi ili kuyafurahia maisha na binti wa kichaga, au nenda kusini kaoe jamii ya wakulima au kanda ya kati kaoe wafugaji, tuachie siye tuoe wachaga si mnaoa makabila????