Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,975
sikulaumu !
Tatizo ni "member"
ukikua kiroho utaacha mawazo mgandamizo kama haya.
mi sikuanza ivi mkuu !ulianzia hukohuko jamaa yangu....... si poa wala nini, changia tukuone wa maana
Jamani naomba kuuliza jambo hapa: Hivi kwa nini mademu wa kibongo wanapenda vitambi? Mfano utakuta demu bomba ile mbaya akiwa amekaa sehemu, anapoinuka utaona mtumbo huo kama mlevi wa matap tap, na mademu wengi wa kibongo haswa wa hapa Dar wako hivi. Swali; je ni ujiko? Kingine, hamjui kwa kuwa na vitambi kama hivi kunatufanya tusidinde? Maana inakuwa kama unalala na mwanamme mwenzako, jamani inakera!
mi sikuanza ivi mkuu !
Izi ni kashfa kwa viumbe wa mungu.
Leo Friday, watu walianza kunywa mapema, wakaibiwa wapenzi na wanaume wenye vitambi. loool
Hapana kashfa bwana, kaongea maoni yake. Wangekua na kasoro za kimaumbile hapo sawa