Mademu na mishe zao za kuzungushana

Mademu na mishe zao za kuzungushana

Sawa shombe la kisomali na kinyakyusa, tumekuelewa ila kwani ukiwa shombe ndyo ukienda chooni unatoa chocolate ama? Mbona kama unaringia sana huo ushombe[emoji35] [emoji35]
Hapana mkuu, ni wasiwasi tu wa hawa warembo
 
Ila honestly mashombe shombe sijui machotara daaah,.sijawahi kuwaelewa kabisaa...bora ani-seduce mmwera kuliko shombe⛳🏌️‍♂️🏌️‍♂️
Basi ni nitakuconnect na Bernard .K. Membe maana yeye ni Mmwera pure..
Ila wenzio wanatutafuta kwa udi na uvumba sie Shombeshombe wanamaind hii mbegu
 
itakua wewe bado ni kavulana, sie wanaume hatujivuniagi uzuri bt tunajivunia mafanikio
 
Jamani nyie wadada mbona mnakuwa hivi..
Stories ipo hvi, kuna mrembo mmoja nilimtongoza na siku hyohyo akaashiria kukubali..
Penzi likaanza na My kwenye simu yangu kutoka kwake zikawa hazikauki..
Kuna siku alikwenda kwa brother wake na akanipigia simu kunambia kuwa yupo kwa Shemeji yangu na tukaongea mengi zaidi, ukweli ndo hvyo mambo yalishaanza kunoga kama TTCL vile.

So kuna siku nikampanga tukutane sehemu tulivu ili nimwage Sera zangu vizur kuhusu hili penzi lililoanza..
So kama kawaida mrembo akaitikia wito na Sera zikaanza, yaan zile zaidi ya Trump

Sasa, kabla Sera zangu hazijaisha vizur akaanza kuniingilia kati..
Nam-quote "Hivi my umenipendea nini na nini malengo yako kwangu" Mara nini nini kibao.. Duuh, yaani nilichomsoma huyu damu ananielewa saaaana kidume Ila ana WASIWASI sana na mm..
So kikubwa hajiamini pia kutokana na appearance na life style yangu bado haamini kama katongozwa na mtu kama mimi..
Ila najaribu kumweka sawa.

Ila niwaambie tu nyie warembo msiwe na wasiwasi na sisi vidume na huu ushombeshombe wetu, ukiona mtu kakufata ujue kakuelewa na anakuhitaji kweli.
So msiwe mnakubali Mara mnawaza tena.. Tulieni tuwatunze.
Ati nini na ushombeshombe wenu hata sisi pia tutakua tunajiamini na ushombeshombe Wetu[emoji23]
 
Nani ana ushuhuda na mafanikio yako ulishawahi kuja kwangu ukashindwa kuona mafanikio..?
Acha kujimwambafai wewe
itakua wewe bado ni kavulana, sie wanaume hatujivuniagi uzuri bt tunajivunia mafanikio
 
Zama zomebadilika mkuu, binti hana shida ya pesa kwao kifinancial wako vizuri. Narudia wako vizur
Mwanamke hata uwe na hela vipi bt ya kupewa na mwanaume wako esp unaempenda inakuaga tam sana[emoji39][emoji39]. We sema tu u broke,usisingizie kua wapo vizuri mana hata hio sio excuse.
 
Back
Top Bottom