Mademu na mishe zao za kuzungushana

Mademu na mishe zao za kuzungushana

Nangose 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,207
Reaction score
6,786
Jamani nyie wadada mbona mnakuwa hivi..
Stories ipo hvi, kuna mrembo mmoja nilimtongoza na siku hyohyo akaashiria kukubali..
Penzi likaanza na My kwenye simu yangu kutoka kwake zikawa hazikauki..
Kuna siku alikwenda kwa brother wake na akanipigia simu kunambia kuwa yupo kwa Shemeji yangu na tukaongea mengi zaidi, ukweli ndo hvyo mambo yalishaanza kunoga kama TTCL vile.

So kuna siku nikampanga tukutane sehemu tulivu ili nimwage Sera zangu vizur kuhusu hili penzi lililoanza..
So kama kawaida mrembo akaitikia wito na Sera zikaanza, yaan zile zaidi ya Trump

Sasa, kabla Sera zangu hazijaisha vizur akaanza kuniingilia kati..
Nam-quote "Hivi my umenipendea nini na nini malengo yako kwangu" Mara nini nini kibao.. Duuh, yaani nilichomsoma huyu damu ananielewa saaaana kidume Ila ana WASIWASI sana na mm..
So kikubwa hajiamini pia kutokana na appearance na life style yangu bado haamini kama katongozwa na mtu kama mimi..
Ila najaribu kumweka sawa.

Ila niwaambie tu nyie warembo msiwe na wasiwasi na sisi vidume na huu ushombeshombe wetu, ukiona mtu kakufata ujue kakuelewa na anakuhitaji kweli.
So msiwe mnakubali Mara mnawaza tena.. Tulieni tuwatunze.
 
We so kidume! We ni wa kiume kabisaa!!
 
ulishamtongoza mlitaka mkutane umwage sera zipi tena?
 
Hizo nini nini kibao anazokuuliza ni kwamba kashakuangalia ushombeshombe wako ulionao kichwani.
 
Hivi mfano huyo manzi itokee ukadate nae.
Alafu mala mkaachana.
Inakua umemchezea na kumuacha au
Inakua mmechezeana?
Kwanza nikujibu swali lako mkuu kama ifuatvyo "Itakuwa tumechezeana"
Ila huyu hata siwazi kumchezea labda abadilike/@zingue mwenyewe huko mbeleni
 
Mkuu, Moshe za shule nilimalizaga miaka 7 iliyopita.. Yaan matokeo yangu ya form four yalitangazwa chini ya mwaka 2014, sasa we kaa hivyohvyo u-compare watu
Shule zimefungwa mpaka 6 January 2020.
 
Back
Top Bottom