Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 9, 2016 #1 mademu msianze shobo kwa samatta huyo ndiye mchumba wake
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,551 Jan 9, 2016 #2 Wema na Lulu lazima waanzishe ligi hapo.
prince dudu Senior Member Joined May 24, 2015 Posts 109 Reaction score 77 Jan 9, 2016 #3 Wema lazima asafish nyota Yake hapo.
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,292 Jan 9, 2016 #5 Wanawake huwa wanapenda mtu ambaye tayari yupo juu. Ivi mwanamke unajua mwanaume atakuthaminije akigundua ulimpenda na kumkubali wakati hana kitu!!
Wanawake huwa wanapenda mtu ambaye tayari yupo juu. Ivi mwanamke unajua mwanaume atakuthaminije akigundua ulimpenda na kumkubali wakati hana kitu!!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 9, 2016 Thread starter #6 mwasu said: Wema na Lulu lazima waanzishe ligi hapo. Click to expand... WASHINDWE KABISA HAO WATAMMALIZA SI KIFEDHA HATA KISOKA
mwasu said: Wema na Lulu lazima waanzishe ligi hapo. Click to expand... WASHINDWE KABISA HAO WATAMMALIZA SI KIFEDHA HATA KISOKA
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 9, 2016 Thread starter #7 prince dudu said: Wema lazima asafish nyota Yake hapo. Click to expand... hapo atachemsha kijana amejitambua huyu
prince dudu said: Wema lazima asafish nyota Yake hapo. Click to expand... hapo atachemsha kijana amejitambua huyu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 9, 2016 Thread starter #8 alhjosephmarwa said: Shaona ? Click to expand... translation please
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 9, 2016 Thread starter #9 KakaJambazi said: Wanawake huwa wanapenda mtu ambaye tayari yupo juu. Ivi mwanamke unajua mwanaume atakuthaminije akigundua ulimpenda na kumkubali wakati hana kitu!! Click to expand... namshauri tu kama ana watoto wa nje asiwatupe maana ni kipaji hapo
KakaJambazi said: Wanawake huwa wanapenda mtu ambaye tayari yupo juu. Ivi mwanamke unajua mwanaume atakuthaminije akigundua ulimpenda na kumkubali wakati hana kitu!! Click to expand... namshauri tu kama ana watoto wa nje asiwatupe maana ni kipaji hapo
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,213 Reaction score 18,455 Jan 9, 2016 #10 sasa hiv utasikia anamdate lulu
L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 Jan 9, 2016 #11 warumi said: sasa hiv utasikia anamdate lulu Click to expand... Umeishiwa ,nifah kishakupiga gap kwa umbeya umebaki kucomment tu.
warumi said: sasa hiv utasikia anamdate lulu Click to expand... Umeishiwa ,nifah kishakupiga gap kwa umbeya umebaki kucomment tu.
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,213 Reaction score 18,455 Jan 9, 2016 #12 lolowapi said: Umeishiwa ,nifah kishakupiga gap kwa umbeya umebaki kucomment tu. Click to expand... nakwambia,nyota imegoma, ila soon nitarudi, si unajua hakuna kama warumi na hatatokea
lolowapi said: Umeishiwa ,nifah kishakupiga gap kwa umbeya umebaki kucomment tu. Click to expand... nakwambia,nyota imegoma, ila soon nitarudi, si unajua hakuna kama warumi na hatatokea
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Jan 9, 2016 #13 Wema Sepetu hatojali kuwa Samatta ana mwenza au hana, yeye ni kuchanua tu.
niachiemimi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,657 Reaction score 5,410 Jan 9, 2016 #14 Kwa umri wa Wema, Samatta ni mwanaye wa kumzaa kabisaaaaa.
SHADOWANGEL JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 528 Reaction score 353 Jan 9, 2016 #15 Usiogope.................Wanasemaga........ kidogo tu...Mbona wenzio wanafanya na wako vizuri....>>>>>>>>>>><<<<<<<<<<
Usiogope.................Wanasemaga........ kidogo tu...Mbona wenzio wanafanya na wako vizuri....>>>>>>>>>>><<<<<<<<<<
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jan 9, 2016 #16 Hivi vimiili vyetu vitamu jamani? Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model. Mmependezana sana.
Hivi vimiili vyetu vitamu jamani? Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model. Mmependezana sana.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jan 9, 2016 #17 lolowapi said: Umeishiwa ,nifah kishakupiga gap kwa umbeya umebaki kucomment tu. Click to expand... Hahahahaa usinigombanishe na binamu yangu warumi tafadhali,wambea hatugombanagi,utachemka tu. warumi said: nakwambia,nyota imegoma, ila soon nitarudi, si unajua hakuna kama warumi na hatatokea Click to expand... Miss you binamu,hebu tuletee ubuyu bwana...naona insta kumekukolea.
lolowapi said: Umeishiwa ,nifah kishakupiga gap kwa umbeya umebaki kucomment tu. Click to expand... Hahahahaa usinigombanishe na binamu yangu warumi tafadhali,wambea hatugombanagi,utachemka tu. warumi said: nakwambia,nyota imegoma, ila soon nitarudi, si unajua hakuna kama warumi na hatatokea Click to expand... Miss you binamu,hebu tuletee ubuyu bwana...naona insta kumekukolea.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Jan 9, 2016 #18 nifah said: Hivi vimiili vyetu vitamu jamani? Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model. Mmependezana sana. Click to expand... Alaa... kumbe? Ngoja nikutokee PM. BTW, kwa taarifa yako ni kuwa Samatta ni ndugu yangu. Nimejua jana tu. So usijali hutakuwa umeenda pabaya tukikubaliana PM huko.
nifah said: Hivi vimiili vyetu vitamu jamani? Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model. Mmependezana sana. Click to expand... Alaa... kumbe? Ngoja nikutokee PM. BTW, kwa taarifa yako ni kuwa Samatta ni ndugu yangu. Nimejua jana tu. So usijali hutakuwa umeenda pabaya tukikubaliana PM huko.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jan 9, 2016 #19 Asprin said: Alaa... kumbe? Ngoja nikutokee PM. BTW, kwa taarifa yako ni kuwa Samatta ni ndugu yangu. Nimejua jana tu. So usijali hutakuwa umeenda pabaya tukikubaliana PM huko. Click to expand... Hahahahaaaa undugu huo uliogundulika jana mbona hatari? Ama kweli pata uthaminiwe.
Asprin said: Alaa... kumbe? Ngoja nikutokee PM. BTW, kwa taarifa yako ni kuwa Samatta ni ndugu yangu. Nimejua jana tu. So usijali hutakuwa umeenda pabaya tukikubaliana PM huko. Click to expand... Hahahahaaaa undugu huo uliogundulika jana mbona hatari? Ama kweli pata uthaminiwe.
DATABASEE JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 588 Reaction score 586 Jan 9, 2016 #20 Jaman,Wema wa watu,ingekua kunangwa unatoboka,basi Wema Wa Sepetu angekua Chandarua