Mademu acheni hizo banah!

mmh kaz kwelikweli, lakin ndio hvyo tena maisha magumu hvyo mtu anaamua kujitoa ufahamu!!
 
Sasa kama hutaki kumpa hel si unamwambia sikupi!! Tatizo wanaume kwa kutoa hela mna kimbelembele, kisa eti unabembelezea penzi. Mm sitoi hela na kama shida ni penzi ntapata tuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…