PreGE2025 Madee: Rais Samia ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki

PreGE2025 Madee: Rais Samia ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Msaniii wa Muziki wa Bongo Fleva Madee amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki hali inayopelekea kupewa hadhi ya viwango inayostahili.

Madee amezungumza hayo baada kutoa burudani yenye viwango vya kitamtaifa katika Tamasha la Samia Serengeti Festival linalofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers ambapo Tamasha hilo linaratibiwa na Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mbali na hilo Madee amezungumzia lengo la kuanzishwa kundi la Samia kings ambalo linaundwa na yeye Mwenyewe, Chege pamoja na Madee ambapo amesema lengo la kundi hilo ni kuunga mkono kazi kubwa inayofaywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

 
Watu wanataka kuona mambo ya msingi yanafanyika kwenye hii nchi. Na siyo kushuhudia na kusikia tu mambo ya kipuuzi kila siku.
 
Back
Top Bottom