Mimi sijausikia huo wimbo lakini ningesema, 1. Kama alisema alipata mateso kuliko ISA basi nikiwa kama mkristo najua ISA Bin Mariam anayezungumzwa na wenzetu sio yule Yesu Kristo wa Nazareth aliyesulubiwa zamani za pontio Pilato, 2. Kama amesema YESU akimaanisha YESU Kristo wa Mnazareth mwana wa Mungu sitaona bado ni kufuru kwani mateso ni comparison term, na hakuna katika biblia ambapo panasema mtu hawezi kujifananisha na YESU, Biblia inasema yesu alizaliwa duniani kama Mtu na aliishi kama mtu kwanini tuanze kutumia maneno ya "Kufuru" huu sio msamiati wa kikristo, sisi tuna maneno ya Heri yao au Ole wao basi mumeaanza kuchanganya mambo wakuu wangu! Mnaogopa kuwa kama wao wakati huo huo mnaanza ku-reason kama wao
hata angekuwa mkristo bana mateso gani aliyopata yy?anaweza kulinganisha na ule msumali kweli?
ilimu madrasa na taaluma yake ni tatizo
ilimu madrasa na taaluma yake ni tatizo
Angekuwa ni Mtume Mohamed amefanyiwa hivyo huyo Madee angetangaziwa Fatwa,na huko Manzese asingekaa,hakika wakristu hawana noma,nakumbuka marehemu Mwanyiro alichimbwa mkwara na waislamu kwa kuvaa kanzu stejini akingurumisha nyuzi bin nyuzi,hata Madega wa Yanga alikiona cha moto alipochapisha tiketi zikiwa na dua na hizo tiketi kutupwa chini na kukanyagwa mpira ulipoisha,ndugu zetu walimjia juu kwa kudharirisha dini yaoMadee mwanamuziki wa midundo ya bongo flavor amekufuru kwenye wimbo wake anaosema amepata mateso makali kuliko ya Yesu.
Wakristo wanaamini kuwa hamna mtu amewahi kuteswa kama yesu. Madee akiwa ni muislamu, hakupaswa kulinganisha taabu zake na mateso ya yesu.
Madee amekufuru.
Inawezekana hakuna sehemu kwenye bible iliyosema hivyo lkn nadhani si busara kujifananisha au kijilingalisha na mitume, manabii au mungu. Personally sioni kama ni busara kufanya hivyo ndio maana ktk uislam haturuhusu vitu kama hivi...
Yesu mwana wa mungu ktk ukristo na Mtume ktk uislam is not just a person unaweza kumwimba imbaa tu
Regards
Madee si anapigwa misumali na wahuni wa Manzese anakodai yeye ni rais. Huyu ni rais wa kusindiliwa.
yesu na mtume ni sawa??? mbona unakuwa na akili kama mohdKuna mdosi mmoja ana kanisa Tegeta na tv yake Agape anajiita mtume. vipi huyo amekufuru nisaidie mkuu
Kuna mdosi mmoja ana kanisa Tegeta na tv yake Agape anajiita mtume. vipi huyo amekufuru nisaidie mkuu
Mateso ya Yesu hayakuwa unique kwa wakati wake, hiyo ndo ilikuwa standard way ya kuwaadhibu wahukumiwa. Ndo maana kulikuwa na wezi wawili waliosulubiwa na Yesu.
Nadhani jamaa alikuwa anajenga picha tu, hakuwa anajifananisha.